Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Dsm yenye watu milioni 7 na mwanza yenye watu milioni 3.6,gepu la nyumba ni kidogo sana na nyumba zinazoendelea kujengwa mwanza ni nyingi kuliko Dsm, na Dsm kuna projects kibao za ujenzi wa nyumba za mashirika ya serikali mara Samia scheeme, lakini mwanza ni juhudi za raia, hii inaonesha dhahiir Dsm kuna umasikini wa kutupwa Vipi mwanza ikipewa mkono wa serikali hata kwa asilimia 30 tu, si itanyea kambi 👆👆👆👆👆
Kaka nakuambia hivi mimi nipo Dar is slums ninayoyashuhudia huku ni vituko
 
Mwanza i na miss vitu vidogo hasa kwa upande wa miundombinu ya barabara, kenyata road, nyerere road, usagara to nyanguge via igombe na ile usagara to jpm bridge ngoja zipigwe dual carriage,na Mwanza international Airportikamilike, Dsm anajaa kwenye mfumo
Adi kufika 2030 watakuwa wametuzidi idadi ya maghorofa tu.
 
Sawa mkuu, Tupambane . Home sweet home !! "MWANZA"
Ogopa sana mji unaobomoa maghorofa na kujenga maghorofa👇
IMG-20240908-WA0038.jpg
 
Dadeeki Mwanza ni li dude li kubwa sana na hapo asilimia kubwa ni nguvu ya raia binafsi siyo huko Dodoma na Dar hadi wanasaidia na taasisi za kiserikali na binafsi
Dar majengo yanayojengwa ni ya wawekezaji binafsi ninyi vijana.
Embu hizo fikra zenu za kiduwanzi kuwa ni mbeleko zitoweni.
Mashirika binafsi ndio yana project kubwa za kuijenga Dar hususan kibiashara.
Fuatilieni mambo sio kuropoka tu.
 
Mimi ni mzaliwa wa Mwanza, nimekulia Mza na nilihama huko 2003 kuja Dar. Sasa imepita miaka 21 niko hapa. Nimeishi Hananasif, Mkwajuni, Makumbusho, Tabata, na Kibamba. Mwanza nimekuwa mtembezi tu kwa mwaka mara moja.

Frankly speaking, Mza itachukua hata miaka 30 kufika mahali Dar ilipo kwa sasa. Huwezi linganisha Mza na Dar. Labda tuseme Mza ijifunze nini kutoka Dar, tena sio Dar nzima, bali manispaa tu ya Kinondoni. Si kwamba Mza hakuna maendeleo, yapo ila bado sana.
 
Back
Top Bottom