BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Mwanza ingekua sipajui ๐๐๐๐ nimeishi mwanza mzee hapo ni kijj kingine
Ndoto ya mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto ya mchana
Najua wengine wataumia ila ukweli ni kwamba laiti Mwanza ingebarikiwa na bandari kama ile ya dar basi sasa hivi tunaongea mwanza ingekua inafukuzana na cape town kwa uzuri! Watu wa Mwanza ni moja ya watu wenye akili sana ulimwenguni! Tofauti na wale wa Dar is slam ambao wengi ni mafukaraaMaghorofa ambayo siyo ya kawaida hapo Dar is slum yako vipi?
Halafu pia sisi hatuhitaji mtu binafsi atujengee na atuuzie tunajijengea wenyewe dizaini tuitakayo kwa sababu bado hatujashindwa kujenga,,huko mnajengewa kwa sababu Dar ni slum kila mahali Mwanza hakuna vijumba vya ovyo ovyo kama huko kwenu tandale kwa tumbo,,,kwa hiyo ni bora mmjengewe sababu wengi wenu hamuwezi kujenga
Hizo housing projects kubwa huku za Nini kwa sasa hatuna mahitaji nazo pia bado huko mnajengewa hizo housing projects kila pahala lakini slum bado zimegoma hata kupungua,, hivyo vitu laiti kama serikali ingeviweka Mwanza Mwanza ingekuwa the best Africa mashariki na kati kwa sababu watu wa huku ni watu wa kazi kazi
Boat za kawaida zipoje haya mbona hiyo meli hamna ndiyo tutarejea hapa kila sehemu inajenga kulingana na mahitaji sasa ni kama Dodoma tuwazodoe kwanini hawana meli wala speed boat tutakuwa tunatumia akili kweli?
Narejea kusema mlichotuzidi hapo cha maana ni flyovers,brt, population, pamoja na slum robo tatu ya mji wenu kwingine kote hakuna maajabu,,pia maeneo mengi tu Mwanza imeipiga bao Dar!!!
Mtoto wa kiume KAZA!Mwanza ingekua sipajui ๐๐๐๐ nimeishi mwanza mzee hapo ni kijj kingine
Kwa hiyo unamaanisha Mwanza ujenzi ni rahisi? Unajua kuwa bei ya tofari Mwanza na Dar hakuna tofauti!Kelele nyingii kama debe tupu.
Pia inaonekana hujui kwanini matajiri wanawekeza katika nyumba.
Nyumba ya Avic town moja unajenga bungalow nne hapo Mwanza.
Pale Avic town nyumba ndogo tu ni 250 millions shillings.
Chukua hiyo nenda kajenge Mwanza unajenga nyumba ngapi.
Halafu unasema watu wameshindwa kujenga.
Are you mad or what!??
-Kuhusu Tandale nilishakujibu ile ni miji mikongwe nyumba zao ni za miaka ya 1970s kipindi hiko cha mzizima.
Na saa hata huko Tandale kumeanza kurekebishwa kwa kubomoa makazi ya zamani.
Na hilo linafanywa na matajiri wa kawaida.
Kijichi,Kigamboni,Bunju,Ununio,Mbweni,Goba ambako kunaanzishwa miji mipya hukuti uswazi kwasababu kunajengwa kwa mpangilio.
Ila sijui wewe kijana wa juzi??
Nenda Tandale kafanye tafiti uulize wenye nyumba wamejenga lini kama sio miaka ya uhuru huko.
Pia huu mji kuwa na makazi holela ni lazima kulingana na msukumo wengi wa watu hivyo hupelekea ujenzi wa bei rahisi na usio na mpangilio.
Hili suala halipo Dar peke yake, commercial city nyingi duniani zinakumbwa na tatizo hili.
Hata Shanghai vile vile.
Hizo sehemu zenu za kitajiri bado kuzifikia Oysterbay,Msasani,Kijito nyama,Mikocheni, Mbezi beach, Mbezi makabe,Kijichi,Somangila.
Mbweni,Ununio napaweka pembeni nitawaua.
Unatolea mfano wa Dodoma kwani Dodoma kuna ziwa,mto au bahari??
Mbona kama haujasoma shule kaka?
Kwani Mwanza si kuna ziwa kwani hakuhitajiki speed boat?
Tena speed boat zingewasaidia sana kuvuka kutoka Kigogo kuelekea Busisi kwa muda mfupi.
Tanua akili.
Kanitafutie magorofa marefu yenye height kuanzia 80 metres and above yenye blue glass architecture Mwanza kama;
-PSPF tower.
-TPA tower.
-Nyerere square.
-PSSSF tower.
-Rita tower.
-Millenium tower.
-Uhuru heights.
-Morocco square.
-NHC tower Morocco.
-Victoria.
Hizo zinakutosha.
Nenda kanitafutie majengo marefu kuanzia 80 metres and above hapo Mwanza.
Thamani ya kiwanja kinapimwa kulingana na eneo husika.Kwa hiyo unamaanisha Mwanza ujenzi ni rahisi? Unajua kuwa bei ya tofari Mwanza na Dar hakuna tofauti!
Unataka kutuaminisha kuwa milion 250 kwa Mwanza unajenga nyumba nyingi kuliko Dar!
Kaka punguza Ujinga, Angalia hapo bei ya kiwanga ilemela nambie hiyo Milion 250 ni kitu gani!
Wewe hizo bei za milion 40 kwa ilemela ni kawaida sana! Nakwambia tu Ilemela maeneo ya Bwiru viwanja milioni 100 na kuendelea!Thamani ya kiwanja kinapimwa kulingana na eneo husika.
Kama unataka tuoneshe maeneo yenye viwanja bei ghali basi utakimbia humu ndani.
Kisota tu hapo Mjimwema kiwanja cha futi sio mita bali futi 20ร15 milioni 40.
Ila mimi nimezungumzia bei ya hizo nyumba zilizojengwa na housing projects nyumba ndogo tu sio kubwa yani ndogo milion 250 hapo Avic town.
Milioni 100 kina ukubwa wa futi ngapi!!??Wewe hizo bei za milion 40 kwa ilemela ni kawaida sana! Nakwambia tu Ilemela maeneo ya Bwiru viwanja milioni 100 na kuendelea!
Hata ukiingia kwenye website ya wizara ya makazi ukiangalia viwanja Kigamboni prime area na Ilemela Prime area hakuna tofauti!
Kwa hiyo unamaanisha Mwanza ujenzi ni rahisi? Unajua kuwa bei ya tofari Mwanza na Dar hakuna tofauti!
Unataka kutuaminisha kuwa milion 250 kwa Mwanza unajenga nyumba nyingi kuliko Dar!
Kaka punguza Ujinga, Angalia hapo bei ya kiwanga ilemela nambie hiyo Milion 250 ni kitu
Ongea facts kijana acha papara, mjini hapa! Hapa mwanza bwa sheeWapi tumelegeza au ndio umeamka na njaa zako
Tembea magomeni mikumi uone mashamba yanayomwagiliwa kwa maji ya chooni! Dar is slams kuna maisha magumu sana, bila bandari hamna kitu,Kati kati ya jiji kuna ng'ombe na mashamba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Eleza tu, tupo kueleweshanaKuhusu bandari labda kama huijui serikali ya CCM. Waulize watu wa Tanga watakupa jibu.
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Dsm imejaa masikini wakutupwaa
Huu ndio ukweli sasa! Mimi nipo Dar na ninashuhudia watu wana maisha magumu haijatokea, sehemu chache sana ndio kuna matajiri, masikini wa mikoa mingine na wa Dar wapo utafauti sana masikini wa mikoa mingine wanaafadhali, Dar ni ile sifa tu kuonekana wa Dar na ile kui overate ila ki uhalisia hamna kituDar es salaam viwanja vya milion mija hadi laki saba ni vingi tu, Hata matajiri wa Dsm ni hao wahindi na waarabu, ngozi nyeusi wote kapuku tu, Mfano hata matajiri wa mabasi yote yanayoenda Dsm kutoka mikoani wamiliki asilimia 98% sio wakazi wa Dsm, Mfano katarama anashusha iriza ni lake zone tena ngozi nyeusi, tofauti na huko Dsm
Serikali ya majimbo Dsm itajinyea kabisaLake zone nzima kuanzia Mwanza,Shinyanga na mikoa mengine mna contribute 25%.
Sasa hamuoni bado sana hapo!?
Dar peke yake ina contribute 17%.
Hivi mnajua kama mna mambo mengi mnayategemea kutoka Dar!?
Anzisheni hiyo serikali ya majimbo muone sekta ya bandari,usafiri wa majini na biashara itavyowapiga gap.
Thubutuuuu.Serikali ya majimbo Dsm itajinyea kabisa
Bustani anaita shamba!??Dar hakuna mashamba n vi bustan. Acha kutusomba๐คฃ๐คฃ๐คฃ mwanza ni malisho ya ng'ombe
Ivi unajua Dar is slums haiingi hata robo kwa Nairobi? Je wajua Nairobi sii tu inamashamba bali mbuga za wanyama??Dar hakuna mashamba n vi bustan. Acha kutusomba๐คฃ๐คฃ๐คฃ mwanza ni malisho ya ng'ombe