Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Wewe
Mimi ni mzaliwa wa Mwanza, nimekulia Mza na nilihama huko 2003 kuja Dar. Sasa imepita miaka 21 niko hapa. Nimeishi Hananasif, Mkwajuni, Makumbusho, Tabata, na Kibamba. Mwanza nimekuwa mtembezi tu kwa mwaka mara moja.

Frankly speaking, Mza itachukua hata miaka 30 kufika mahali Dar ilipo kwa sasa. Huwezi linganisha Mza na Dar. Labda tuseme Mza ijifunze nini kutoka Dar, tena sio Dar nzima, bali manispaa tu ya Kinondoni. Si kwamba Mza hakuna maendeleo, yapo ila bado sana.
Ndio huo ndio ukweli
 
Kiukweli Dar ni kubwa sana kulinganisha na Mwanza, na Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tz hilo halina ubisha. Kwa issue za quality za maisha hasa kwa mtu wa kipato cha kati nakushauri uishi Mwanza utaisha maisha mazuri yasiyo na misukosuko na ukifuatilia vizuri karbu kila starehe iliyopo Dar Mwanza unaikuta, ila kwa hali ya hewa Mwanza imekaa poa sana.
 
IMG-20240918-WA0006.jpg
 
Njoo ukione cha zadi katika jiji murua la miamba,,,acha kujificha tandale kwa tumbo ukishindia miguu ya kuku na maji ya kandoro ukajiona uko mjini,,Dar is slum wengi mnaishi kama mko kuzimu hadi huruma
Dar kuna matajiri Mwanza hakuna.
Hatukatai wapo wanaoishi maisha magumu,hata Mwanza wa maisha magumu kuliko Dar wapo.
Tena maskini wa Mwanza anaishi nyumba ya udongo kama unabisha bisha.
Ila kataa ukatae hakuna mahali Tanzania kuna ushuani kuzidi Oysterbay,Masaki,Mbezi beach, Avic town,Kijichi,Msasani na Kijitonyama.
Kama unabisha tufananishe ushuani kwa Dar na Mwanza.
Tukianza na Masaki.
 
Uzi ufungwe Dar ni overated lakini watu wana maisha magumu mno.
Overrated unafahamu maana ya overrated??
Hatukatai wapo wenye maisha magumu na omba omba.
Hata Shanghai kuna omba omba pia na walala nje.
Ila Shanghai ndio jiji la pesa pale China.
Ndio sawa ukija na Dar.
Dar kuna matajiri wakubwa mara elfu ya Mwanza.
Kuna nani anatia mguu kwa Ghalib Said Mohammed hapo Mwanza??

Hiyo ni Msasani Palm village,hapo ni makazi na nyumba za starehe za watu binafsi.
Wapi Mwanza unapakuta kama hivi?
Screenshot_2024-09-19-16-23-34-83_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Overrated unafahamu maana ya overrated??
Hatukatai wapo wenye maisha magumu na omba omba.
Hata Shanghai kuna omba omba pia na walala nje.
Ila Shanghai ndio jiji la pesa pale China.
Ndio sawa ukija na Dar.
Dar kuna matajiri wakubwa mara elfu ya Mwanza.
Kuna nani anatia mguu kwa Ghalib Said Mohammed hapo Mwanza??

Hiyo ni Msasani Palm village,hapo ni makazi na nyumba za starehe za watu binafsi.
Wapi Mwanza unapakuta kama hivi?View attachment 3100528
Umewekewa facts za sensa bado unabisha nini ndugu? Idadi kubwa ya watu wa Dar hawana makazi, linganisha hiyo idadi ya majengo na idadi ya watu ndiyo utapata majibu nini maana ya hizo namba kutoka NBS.
 
Ni kipi nilichobisha??
Unazungumzia uchumi wa watu ama unazungumzia kuendelea kwa jiji la Dar??
Mbona kama unabadili mada??
Yes tukisema wakaazi wengi wa Dar sio kama hawana makazi sema kuwa hawana majengo.
Kwasababu asilimia kubwa ni wapangaji hivyo rekebisha kauli.
Pia tofautisha Dar na Mwanza.
Dar watu wengi huja na kuondoka kila leo kibiashara.

Japo hilo haliondoi kuwa DAR ES SALAAM ndio mji pekee Tanzania ulioendelea.
Mwanza ni KIJIJI KILICHOCHANGAMKA.
 
Overrated unafahamu maana ya overrated??
Hatukatai wapo wenye maisha magumu na omba omba.
Hata Shanghai kuna omba omba pia na walala nje.
Ila Shanghai ndio jiji la pesa pale China.
Ndio sawa ukija na Dar.
Dar kuna matajiri wakubwa mara elfu ya Mwanza.
Kuna nani anatia mguu kwa Ghalib Said Mohammed hapo Mwanza??

Hiyo ni Msasani Palm village,hapo ni makazi na nyumba za starehe za watu binafsi.
Wapi Mwanza unapakuta kama hivi?View attachment 3100528

Hiyo msimbazi kuelekea hadi soko kuu la kariakoo na mbele huko.
Hapo ni katikati ya mji.
Kama hujaridhika sema uletewe zingine.View attachment 3100484View attachment 3100485
Sasa hapa kuna nini cha ajabu zaidi kuona slum zilizochangamka
 
Back
Top Bottom