Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Nishaona umeishiwa hoja.
Kama umeishiwa hoja sema.
View attachment 3100947
Sijaishiwa hoja broo dar is slum sioni maajabu ya kuitishia Mwanza zaidi ya hizo brt fly over na vi ghorofa virefu viwili vitatu ambazo hizo flyover na brt bado hatujawa na mahitaji nazo Kwa sababu usafiri wetu tulionao unatutosheleza na haturundikani kwenye daladala kama huko dar is slum na tunafika kwenye mishe zetu ontime
 
Nimekwambia nitajie magorofa yenye urefu kuanzia metre 80 Mwanza hujanitajia.
Umeishiwa hoja we kubali tu.
Nimekuletea magorofa kibao hakuna ulinganisho wowote ulioleta hapa unaongea tu maneno.
Nimekuletea magorofa ya mita 60 kwenda juu wewe unasema vigorofa vidogo.
Afrika mashariki ni Dar es salaam tu ndio ya kupambanishwa na Nairobi sio Mwanza.
Mwanza ni kijiji kilichochangamka.
Achana na kariakoo hiyo chini Upanga.
Ona hata aibu basi.
 
Nioneshe hapo jengo refu linalomilikiwa na mtu binafsi zaidi ya mbeleko bado jiji linapata busta kubwa lakini halina mvuto hiyo skyline inahuzunisha sana na hapo eti ndo katikati ya mji
Hapo majengo mengi ya watu binafsi ikiwemo hotel ya serena.
Kama skyline mbovu NITAFTIE SKYLINE KAMA HIYO MWANZA!??
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa akili zako bro hayo ndio majengo marefu pekeee!??
Bro are you serious!??
Dar ina majengo zaidi ya 20+ yenye urefu kuanzia 80 metre.
Na ya kuanzia 50-70 metre yapo mengi sanaa.
Subiri nikuletee ya watu binafsi.
*China plaza
*Magorofa yote ya Johari rotana.
*Onomo hotel.
*Mtaa wa Indian street asilimia kubwa majengo watu binafsi.
 
Majengo marefu ila hayavutii kabisa...
 
Hii sehemu ingekuwa dar ingekuwa vurugu tupu, wauza miguu ya kuku na wateja wao wangekuwa wamejaa hapo.
 

Attachments

  • cde7f49d7e22498a85da6871394b1f46.jpg
    119.1 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…