galukaliguda
Member
- Sep 10, 2024
- 57
- 101
Nioneshe hapo jengo refu linalomilikiwa na mtu binafsi zaidi ya mbeleko bado jiji linapata busta kubwa lakini halina mvuto hiyo skyline inahuzunisha sana na hapo eti ndo katikati ya mji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nioneshe hapo jengo refu linalomilikiwa na mtu binafsi zaidi ya mbeleko bado jiji linapata busta kubwa lakini halina mvuto hiyo skyline inahuzunisha sana na hapo eti ndo katikati ya mji
Sijaishiwa hoja broo dar is slum sioni maajabu ya kuitishia Mwanza zaidi ya hizo brt fly over na vi ghorofa virefu viwili vitatu ambazo hizo flyover na brt bado hatujawa na mahitaji nazo Kwa sababu usafiri wetu tulionao unatutosheleza na haturundikani kwenye daladala kama huko dar is slum na tunafika kwenye mishe zetu ontime
Nimekwambia nitajie magorofa yenye urefu kuanzia metre 80 Mwanza hujanitajia.Sijaishiwa hoja broo dar is slum sioni maajabu ya kuitishia Mwanza zaidi ya hizo brt fly over na vi ghorofa virefu viwili vitatu ambazo hizo flyover na brt bado hatujawa na mahitaji nazo Kwa sababu usafiri wetu tulionao unatutosheleza na haturundikani kwenye daladala kama huko dar is slum na tunafika kwenye mishe zetu ontime
Hapo majengo mengi ya watu binafsi ikiwemo hotel ya serena.Nioneshe hapo jengo refu linalomilikiwa na mtu binafsi zaidi ya mbeleko bado jiji linapata busta kubwa lakini halina mvuto hiyo skyline inahuzunisha sana na hapo eti ndo katikati ya mji
Kaka hiyo lipo katika majiji yote ya kibiashara.Dar ukiishiwa pesa lile jua Huwa lina-kuwa mara mbili,alafu linakupa na nyongeza😆😆😆
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa akili zako bro hayo ndio majengo marefu pekeee!??Ebu ziorodheshe hizo higher building kama siyo za kiserikali ngoja nikusaidie kuna tpa tower,, ppf HQ,, NHC hq,,crdb HQ mawasiliano tower,,maji house,,mzizima tower hayo ndiyo majengo marefu na mmiliki siyo mtu binafsi ni taasisi za kiserikali bro ndo mnatamba nayo ebu nioneshe jengo refu hapo linalomilikiwa na mtu binafsi
Majengo marefu ila hayavutii kabisa...Nani kakwambia hakuna parking!??
Halafu mbona unahama bro?
Unaulizia mji kupangika au parking?
Mji kupangika kitu kingine na parking ni kitu kingine.
Kila eneo lina parking ila mrundikano wa watu na biashara barabarani ndio unaziba hizo parking.
Kwasababu kariakoo ni CBD hivyo mrundikano wa watu ni mkubwa sanaaa.
Wameongeza parking barabara ya kuelekea Karume,maana ukisema utumie parking za kawaida utakumbana na wachuuzi barabarani mtihani.
Mwanza kuna magorofa yalojazana kama hapo chini??View attachment 3100945View attachment 3100946
Angalau hapa pako vizuri kidogo
Ndio architecture iliyotumika.Majengo marefu ila hayavutii kabisa...