Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

25032022-mwanza-tanzania-beautiful-drone-view-to-the-city-of-africa-high-buildings-lots-of-tra...jpg
 
Sema wewe hujui dar unatafuta tu umaarufu, hakuna sehemu iliyoendelea Kwa Kila kitu hapa Tanzania kama Dar , Dar ndio Tanzania , hakuna sehemu yenye maisha mepesi KUISHI kama dar ,ukishindwa KUISHI dar huwezi KUISHI popote
Ndo mnavyojidanganya watu mliolowea Dar is slum,,hapo Dar robo tatu mnaishi maisha ya kilofa sana kula ya ku unga unga,, halafu Dar is slum nazungumzia na naijua vizuri sana hakuna cha kunishangaza hapo
 
Back
Top Bottom