galukaliguda
Member
- Sep 10, 2024
- 57
- 101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe hujui dar unatafuta tu umaarufu, hakuna sehemu iliyoendelea Kwa Kila kitu hapa Tanzania kama Dar , Dar ndio Tanzania , hakuna sehemu yenye maisha mepesi KUISHI kama dar ,ukishindwa KUISHI dar huwezi KUISHI popoteJiji la Mwanza linavutia sana!! Kuliko majiji yote Tanzania!!!
Ndo mnavyojidanganya watu mliolowea Dar is slum,,hapo Dar robo tatu mnaishi maisha ya kilofa sana kula ya ku unga unga,, halafu Dar is slum nazungumzia na naijua vizuri sana hakuna cha kunishangaza hapoSema wewe hujui dar unatafuta tu umaarufu, hakuna sehemu iliyoendelea Kwa Kila kitu hapa Tanzania kama Dar , Dar ndio Tanzania , hakuna sehemu yenye maisha mepesi KUISHI kama dar ,ukishindwa KUISHI dar huwezi KUISHI popote