Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Hii sehemu ingekuwa dar ingekuwa vurugu tupu, wauza miguu ya kuku na wateja wao wangekuwa wamejaa hapo.
Dar kila sehemu ina namna yake ya maisha.
Umepita mtaa wa bibi titi road kuelekea Serena hotel?
Mbona hapo ni kubaya na kubovu?
Subiri nikuletee picha.
 
Wana mwanza tusubiri sgr via duct iishe pale mkuyuni, central station na dual carriage ya kenyata road jiji litakua la moto sana, nakuja tena na picha nje ya CBD kwanza tuuoneshe umma mwanza ni habari nyingne
 
Ndo mnavyojidanganya watu mliolowea Dar is slum,,hapo Dar robo tatu mnaishi maisha ya kilofa sana kula ya ku unga unga,, halafu Dar is slum nazungumzia na naijua vizuri sana hakuna cha kunishangaza hapo
Tulia wewe.
Kwani huko Mwanza masikini hakuna??
Unataka kusema Mwanza wote matajiri??
Kuna sehemu Mwanza imejengeka kama Masaki??
Embu tizama Kinondoni kwanza hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…