Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

26904641_10208923464282350_7895029336619809889_n.jpg
songoro fast boat,
 
Hii sehemu ingekuwa dar ingekuwa vurugu tupu, wauza miguu ya kuku na wateja wao wangekuwa wamejaa hapo.
Dar kila sehemu ina namna yake ya maisha.
Umepita mtaa wa bibi titi road kuelekea Serena hotel?
Mbona hapo ni kubaya na kubovu?
Subiri nikuletee picha.
 
Ndo mnavyojidanganya watu mliolowea Dar is slum,,hapo Dar robo tatu mnaishi maisha ya kilofa sana kula ya ku unga unga,, halafu Dar is slum nazungumzia na naijua vizuri sana hakuna cha kunishangaza hapo
Tulia wewe.
Kwani huko Mwanza masikini hakuna??
Unataka kusema Mwanza wote matajiri??
Kuna sehemu Mwanza imejengeka kama Masaki??
Embu tizama Kinondoni kwanza hiyo.
Screenshot_2024-09-22-11-53-47-82_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-22-11-55-21-31_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom