Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

Wazaramo wa michongo tumewasambaratisha na scrapers zao, Mwanza sio pakuchukulia kama poa kama hujawahi fika nakushauri uende ukaone jiji swaaafii
Wapi wewe unakaa kujifariji!??
Yani Mwanza iishinde Dar es salaam!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngojea nikuanzishie dozi maalum.
 
Dar is really overrated πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3103372
Hii Rita tower bado ni majengo ya taasisi za kiserikali ndo mnavimba nayo imagine unapambana na mji unaojengwa na raia wenyewe plus mji wenu unaopewa busta lakini hatuoni maajabu Dar ukitoa brt flyovers na hivyo vijengo viwili vitatu vya msaada inabaki li Kijiji kikubwa tungekuwa na serikali ya majimbo msingefua dafu hata robo kwa jiji la miamba hili jiji lina muscles za kutosha
 

Mnaotetea mwanzani wajinga au washamba
Kipimo cha ushamba ni nini??
 
Nimekurushia majengo hadi ya Upanga ambayo yamejengwa na watu binafsi.
Usisingizie mbeleko kijana.
HApo nimerusha majengo ya serikali na watu binafsi.
Na kama kungekua na serikali za majimbo ndio msingetoboa kabisa maana huku Pwani kuna matajiri wengi sana ukiachana na bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…