MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
Kwahiyo tatizo lako ni tofauti ya umri tu!!
Ila pia tofauti ya umri angalia ambae amekua, kuna wanawake wanakua mapema sana, yaani anaweza akawa ana 25 lakini akili za kiutu uzima hata usiamini. Japo ni wachache kwakweli.

Ila pia tofauti ya umri isiwe kubwa sana, mambo yamebadilika siku hizi.
 
 
Hili ndio nahofia, imagine nimefikisha 50, mke ndio ana 33! Kuna usalama kweli?!!
 
Naunga mkono snaa vyakula vye2 2navyo kula ndivyo vina twaribu then mazoezi amna ina back manyama uzembe.
 
SO TRUEE........
 
Ukiwa 35+ unatakiwa upate mke 28-32 yrs ambaye hana mtoto,single mother wana changamoto nyingi na sio vizuri kuwafanya mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…