Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Nyie hamna changamoto..kuleni BATA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tatizo lako ni tofauti ya umri tu!!Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
Ya machaguo mengi halafu hupati kisa ubahili wako...Ha ha ha ha ha Pole ya nini?
Kwahiyo tatizo lako ni tofauti ya umri tu!!
Ila pia tofauti ya umri analia ambae amekua, kuna wanawake wanakua mapema sana, yaani anaweza akawa ana 25 lakini akili za kiutu uzima hata usiamini. Japo ni wachache kwakweli.
Ila pia tofauti ya umri isiwe kubwa sana, mambo yamebadilika siku hizi.
Dhaa apo maji ya moto atari snaa bora mnge subiri kidogo mpange life lingine la maendeleo msichana bado ana umri wa kujiendeleza sna kwa mambo mengi then utoto bado upo kwa mbali lamda wewe ati list ume sogeaMi nataka nioe mwakani binti atakua na 21, na mimi nitakua 26!
Hili ndio nahofia, imagine nimefikisha 50, mke ndio ana 33! Kuna usalama kweli?!!Kwahiyo tatizo lako ni tofauti ya umri tu!!
Ila pia tofauti ya umri analia ambae amekua, kuna wanawake wanakua mapema sana, yaani anaweza akawa ana 25 lakini akili za kiutu uzima hata usiamini. Japo ni wachache kwakweli.
Ila pia tofauti ya umri isiwe kubwa sana, mambo yamebadilika siku hizi.
Hivi unahabari nimekununia!! Ni un-nune haraka[emoji57] [emoji57] [emoji57]hongera mzee labda kwa kusubiri huko unaweza kukutana na mwanamke wa ndoto zako.
SO TRUEE........Kwa tamaduni na mazingira ya kiafrika yalivyo ukishafika miaka 33+ ni vigumu sana kupata mwenza aliye sahihi hii ni kwa jinsia zote!
Kwa umri huo watu wa umri wako ambao wako available watakuwa ni wataraka au masingle mothers/fathers na waliokobuhu kwenye mahusiano kiasi kwamba hata kuumiza au kuumizwa hawaoni shida kabisa.
Nisamehe rafiki wangu Wa ukweli .. UsijaliHivi unajua unaniharibia?
nipo.Ebana upo au ndio mambo yetu yale....?!