MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Changamoto zako nzito kuliko mimi.
 
We changamoto yako umri tu!! Basi hiyo rahisi sana, seems unaatract wa umri wa chini zaidi.

Basi ushapata suluhisho nini cha kufanya.
wananiattract as well...si unajua vile wako perfect(figure)...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚...umri una mambo mengi.
 
wananiattract as well...si unajua vile wako perfect(figure)...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚...umri una mambo mengi.
So you want to have yo cake and eat it!!!
Basi kumbe wewe hauna changamoto kabisa. Ungekuwa muoaji ungeshaoa, maybe it was not meant to be si unajua tena!!!
 
Muombe Mwenyezi Mungu usifanye kosa eneo hilo.Ukikosea njia utaelekezwa lakini ukikosea kuchagua mke ni majuto.
 
We changamoto yako umri tu!! Basi hiyo rahisi sana, seems unaatract wa umri wa chini zaidi.

Basi ushapata suluhisho nini cha kufanya.
So you want to have yo cake and eat it!!!
Basi kumbe wewe hauna changamoto kabisa. Ungekuwa muoaji ungeshaoa, maybe it was not meant to be si unajua tena!!!
Kazi ipo. Nimekuwekea changamoto zangu tatu, wewe kwa mapenzi yako umeamua iwe moja umri. Nimekuonesha umri unakuwaje changamoto bado unasema sitaki kuoa, umebakisha kunitabiria lini nitakufa tu coz ni mtabiri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…