Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hahahaaaa! Hilo tuuuMpaka saivi sijaona nikiitwa lunch, auntie ni uungwana kweeli jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa! Hilo tuuuMpaka saivi sijaona nikiitwa lunch, auntie ni uungwana kweeli jamani
Changamoto zako nzito kuliko mimi.Hii ni ishara ya woga. Woga wako ukapera wako. Ukikosea si basi unajipanga upya?
Changamoto zangu:
1. Wanaume 6 kati ya 10 wanaotaka kunioa ni marioo na mimi siko tayari kuoa. Wanne wanaobaki mara nyingi wanakuwa na viporo ambavyo hawajavishughulikia au wanataka mke kwa sababu ambazo kwangu ni nyepesi.
2. Nina ubinafsi. Kila nikiwaza kuanza maisha tofauti na niliyozoea huwa napata uzito sana.
3. woga - nina mtoto - nahofia ustawi wake.
Salama kabisa baba.Salama mkwe.
Habari za veve?
We changamoto yako umri tu!! Basi hiyo rahisi sana, seems unaatract wa umri wa chini zaidi.Changamoto zako nzito kuliko mimi.
Iyo safi sana mkioanaMi nataka nioe mwakani binti atakua na 21, na mimi nitakua 26!
What.....[emoji21] [emoji21]Hebu ngoja nifikirie!!!
Duuh jaman hebu come kwa PM tutete kidogo[emoji12]Kaka nimefurahi kukuona. Msalimie wifi kipenzi jana we had a wonderful galz time.
Duuh jaman hebu come kwa PM tutete kidogo[emoji12]
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Sasa huku umefuata nini jamani!!
So you want to have yo cake and eat it!!!wananiattract as well...si unajua vile wako perfect(figure)...🙂🙂🙂...umri una mambo mengi.
Basi kama ziko chache hiyo inamaanisha ni aina ya ndoa ambazo zinawakutasha watu wasio sahihi ndio maana ni chache sana.Ziko chache
We changamoto yako umri tu!! Basi hiyo rahisi sana, seems unaatract wa umri wa chini zaidi.
Basi ushapata suluhisho nini cha kufanya.
Kazi ipo. Nimekuwekea changamoto zangu tatu, wewe kwa mapenzi yako umeamua iwe moja umri. Nimekuonesha umri unakuwaje changamoto bado unasema sitaki kuoa, umebakisha kunitabiria lini nitakufa tu coz ni mtabiri mzuri.So you want to have yo cake and eat it!!!
Basi kumbe wewe hauna changamoto kabisa. Ungekuwa muoaji ungeshaoa, maybe it was not meant to be si unajua tena!!!
Changamoto zako nzito kuliko mimi.
Sakayo hujambo mama?Hivi jibu langu liko Wapii