MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Aisee hawa wakuogopa hawa siku akikaa usawa wa mlango wako tu msukumie ndani ataenda angukia kitandaniii na kufunika uso tu vyoote anakuachia
Hawa siku unamsimamisha unaongea nae unacheka jokes hapa na pale anaweza asilale usiku! Haamini kama uko kama binadamu wengi
 
Kabisa
Ila sababu alinifokea bhana, ila nilipomjibu 'Sawa' kama alivyonifunza mama akawa mpole. Sikuona teena akinirudia!!!
Pole alionyesha uwanaume wake na wewe ukaonyesha uwanamke wako ndo mana hajakurudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…