RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #1,241
Hawa siku unamsimamisha unaongea nae unacheka jokes hapa na pale anaweza asilale usiku! Haamini kama uko kama binadamu wengiAisee hawa wakuogopa hawa siku akikaa usawa wa mlango wako tu msukumie ndani ataenda angukia kitandaniii na kufunika uso tu vyoote anakuachia