MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Hapana. Mahusiano ni jambo linaloendelea haliishi, kwahio mnaweza kujadili kwa muda wowote ule. Vingi vinajadiliwa humu sio mahusiano tu, chit chat za hapa na pale as well.
Okey bro
 
Si kweli kwamba hamna mtu yuko tayari. Tayari wapo.
 
To be honest sijui nani anaoa bila kuchagua. Na hii notion kuwa 'unachagua sana' sijui kipimo ni kipi? Mtu ambae nitaishi nae hadi kifo kitutenganishe lazima niridhike nae.
Kila mtu anachagua. Tatizo ni vigezo, vipaumbele na flexibility.
 
Kutokuridhika na kuwa na udhanifu kwa mwenzi wngu wa maisha. Naona kama nafikiria kupata mwanamke asiyekuwepo ktk hii dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…