Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey broHapana. Mahusiano ni jambo linaloendelea haliishi, kwahio mnaweza kujadili kwa muda wowote ule. Vingi vinajadiliwa humu sio mahusiano tu, chit chat za hapa na pale as well.
Yap ndo nnachokifanya hichoOa ukiwa tayari, sio kwa pressure za watu wengine. Mke utaenda kuishi nae wewe.
Si kweli kwamba hamna mtu yuko tayari. Tayari wapo.Its not about kupasha kiporo,uuhusiano unatakiwa uwe wa watu wawili. Ukizaa na mtu nikakuoa tayari uhusiano unakuwa wa watu watatu kiungo mtoto.
Kataa kubali hii inaleta complications, hamna mtu yuko taysri kuona mpenzi wake anawasiliana na ex wake, bond yako na baba wa mtoto haiwezi kuvunjika kamwe.
Mbaya zaidi wengi wanatamani sana baba mtoto abadili mawazo waishi pamoja! Unless ulizaa kwa bahati mbaya kama kubakwa.
Kila mtu anachagua. Tatizo ni vigezo, vipaumbele na flexibility.To be honest sijui nani anaoa bila kuchagua. Na hii notion kuwa 'unachagua sana' sijui kipimo ni kipi? Mtu ambae nitaishi nae hadi kifo kitutenganishe lazima niridhike nae.
Upo?
Eti?
Hio post nazungumzia wasiopenda kuoa single moms. Hao wanaoweza obvious hawaoni shida kuoa single momsKuna ulimwengu zaidi ya huo wa kwako.
Yote yanawezekana.Nimeweza kusoma ila sijaelewa swali. Kwani unahisi kuna mtu kaniandikia?😛
Hahaa nimejikuta naangua kicheko...Nimeweza kusoma ila sijaelewa swali. Kwani unahisi kuna mtu kaniandikia?😛
Mmh sababu kuntu wacha nisiseme wahusika wengine wapo humuKinachokuchelewesha nini?