Habari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz m
wanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri
ππππ wa over seeeeeWifi yangu yupi sasa maana!!!
Mie nikufiche unisaidie nini!! Hebu kachakarike huko ulete pesa[emoji57] [emoji57]
Kwa mimi sina changamoto yoyote kwa sab kwangu mimi naona muda wangu haujafika ila ukifika najua ntakuwa nimeingia kwenye vita kubwa zaidi ya vita ya duniaHabari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Mmmmmh!! Unamtakia mwenzio ujane wa mapema hivyo, though hatuijui siku wala saa(kidding)Hivi unajua mwanaume wa miaka 50 ana nguvu sana!!! Hilo lisikupe shida!!!
Kama bado una 30 bado hujachelewa kuoa...kuna watu wana 47 na bado hawajaoa...shida inaanzia hapo..kuvipata vitoto vya chuoHapana sijafikia huko. Salon naenda kunyoa tu.
Hivi hiyo baduu iko kama insta facebook nk au? Huwa naona inatajwa kwenye mambo ya ajabu ajabu tu!!
Utatoa wa double eeh!! Mwambie wifi hiyo siku mimi ndio nitakuwa double yako.oouh.... siku akiniambia mchango nitakujulisha twende wote
I mean itSeriously?
Mambo yapi ya ajabu?Hivi hiyo baduu iko kama insta facebook nk au? Huwa naona inatajwa kwenye mabo ya ajabu ajabu tu!!
Dogo unachanja mbuga tu, hizo nguvu za kuliwakilisha taifa unazo!!ππππ wa over seeeee
hili nalikubali maana sidhani kama litatimia.Utatoa wa double eeh!! Mwambie wifi hiyo siku mimi ndio nitakuwa double yako.
Ukifika 40yrs na ww utakua kwenye group la special group labda kama utakuwa na vitu special vya kuwafanya wakutake
HahaMmmmmh!! Unamtakia mwenzio ujane wa mapema hivyo, though hatuijui siku wala saa(kidding)
Ila kusema kweli raha ni uwe na familia yako mapema na uifurahie ukiwa bado na nguvu zako ila ndio hivyo maisha msongamano.
Akikujibu niite auntHivi hiyo baduu iko kama insta facebook nk au? Huwa naona inatajwa kwenye mabo ya ajabu ajabu tu!!