MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz m
wanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.

Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.

Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Kwa mimi sina changamoto yoyote kwa sab kwangu mimi naona muda wangu haujafika ila ukifika najua ntakuwa nimeingia kwenye vita kubwa zaidi ya vita ya dunia
 
Hivi unajua mwanaume wa miaka 50 ana nguvu sana!!! Hilo lisikupe shida!!!
Mmmmmh!! Unamtakia mwenzio ujane wa mapema hivyo, though hatuijui siku wala saa(kidding)

Ila kusema kweli raha ni uwe na familia yako mapema na uifurahie ukiwa bado na nguvu zako ila ndio hivyo maisha msongamano.
 
tatizo wengine hatukuona sababu maana kale kamchezo ukikataka mda wowote unapata kwa yeyote so hatukuona sababu ya kufuga kuku wakati mayai yanapatikana popote
 
Mmmmmh!! Unamtakia mwenzio ujane wa mapema hivyo, though hatuijui siku wala saa(kidding)

Ila kusema kweli raha ni uwe na familia yako mapema na uifurahie ukiwa bado na nguvu zako ila ndio hivyo maisha msongamano.
Haha
Ujane tena jamani, mie nilitamani kweeli mtarajiwa anipite na miaka kumi na hukooo
 
Back
Top Bottom