Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]hili nalikubali maana sidhani kama litatimia.
Nitanuna tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]hili nalikubali maana sidhani kama litatimia.
You cant be serious!! Ili ugundue nini!!!Haha
Ujane tena jamani, mie nilitamani kweeli mtarajiwa anipite na miaka kumi na hukooo
Acha hizo wewe....mimi nina life expenctancy ya Japan!Mmmmmh!! Unamtakia mwenzio ujane wa mapema hivyo, though hatuijui siku wala saa(kidding)
Ila kusema kweli raha ni uwe na familia yako mapema na uifurahie ukiwa bado na nguvu zako ila ndio hivyo maisha msongamano.
Hajanijibu nae kaniuliza swali, ndio basi tena hatutojua auntie yangu.Akikujibu niite aunt
Kwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"Miss Natafuta amekwisha muota ndugu yetu huyo.
Sidhani kama atatumia nguvu nyingi kuchukua zigo lile.
Tuwaulize tu hao single moms watoto waliwapata wapi? Wao ndo wasababishi halafu wanajifanya wanawatenga watoto /Dada /mama zetuMbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.
Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?
Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.
Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
Uwiiii yaani umemuita na bonny jamani!!
Komaaa tu MKUU utapataHabari za jumatatu,
Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;
1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.
2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.
3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.
Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Yaani serious kabisa!!! Sasa wenye hiyo age wengi wako na wake zao...You cant be serious!! Ili ugundue nini!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"
Sijui kuna nini huko aunt!! Ni dunia inginee auuHajanijibu nae kaniuliza swali, ndio basi tena hatutojua auntie yangu.
Kumbe ndivyo!! Basi tangaza ndoa!!Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
Huwa nasikia wanasema eti ng'ombe hazeeki maini, kwahiyo usihofu.Life expectancy....guarantee ya perfomance ya viungo vingine sijui!
Hiyo duu veepeduh...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama bado unachagua halafu pesa huna jiandae... Tafuta pesa tuje kukulea kwa zamu.. Ila ukiwa huna hela utajibeba . pole na ubahili uache