MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.

Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?

Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.

Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
Tuwaulize tu hao single moms watoto waliwapata wapi? Wao ndo wasababishi halafu wanajifanya wanawatenga watoto /Dada /mama zetu
 
Habari za jumatatu,

Ni changamoto gani unazipata katika harakati za kutafuta mke kama wewe ni wale waliochelewa kuoa. Kwa mtazamo wa jamii zetu za kiTz mwanaume au mwanamke aliezidi miaka 35 hajaoa au kuolewa ni kuwa amechelewa. Hii sio sheria mwingine anaweza kuwa na mtazamo tofauti.

Mimi binafsi changamoto ninazopata ni hizi;

1.Umri-wanawake wengi kwenye jamii zetu ambao hawajaolewa umri wao ni 22-26. Kwangu mimi bado wadogo yaani tofauti ya umri naiona kubwa.

2.Siko tayari kuoa mwanamke mwenye mtoto-naomba nisieleweke vibaya, huu ni msimamo tu nimeamua hivyo. Changamoto kubwa sasa ni kuwa wale ambao naona ndio umri sahihi wa kuolewa na mimi wengi wao wana mtoto/watoto.

3.Nachagua sana (Naambiwa hivyo inabidi nikubali)-kuoa bila kuchagua inawezekana kweli? Huyu ni mtu nitakaekuwa nae kwa maisha yangu yote sasa inabidi nipate mtu nilieridhika nae.


Tuchangie thread hii kwa lengo la kusaidiana, kurekebisha na kushauri.
Komaaa tu MKUU utapata
 
Kwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe kulala mapema ndio kuota!! Leo nalala saa 1 kabisa ili niote vizuri.
 
Back
Top Bottom