MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Nimemsikitikia kutoka kwenye familia ambayo mwanamke anathaminishwa kwa hatua za maisha yake. Vipi wanafamilia wasiosoma? Wasio na kipato cha kati? Waliooa na kuolewa ila hawana watoto, nyumba, Magari etc? Waliotengana na mwenza kwa sababu ya kukimbia kipigo ama manyanyaso? Vipi huyo dada alieolewa kwa ubani kwa sababu mlishakata tamaa akaachana na Mume wake na kurudi nyumbani? Atapokelewa?

Thamani ya mtu haiwezi kulinganishwa na vitu ambavyo ni material. Mungu amsaidie dada yenu awe ameolewa familia yenye wanawake wa Shoka, watakaomfundisha kuwa ana thamani na anaweza kuwathamini wanae pia.
Hamna mwanamke asiyetaka kuolewa huo ndio ukweli

Mwanamke ana nguvu kwny haya masuala ya kuolewa

Mm nina dada yangu mmoja kaolewa mwaka huu alikuwa anafikisha 36 kila siku tulikuwa tunaomba ajitokeze mbabe mmoja wa kivita amchukue akatokea jamaa mmoja wa mkoani huko tukamwambia mahari ubani tu mchukue mwenzio mkayajenge
 
SWALA LA KUOA NA KUOLEWA N SUALA GUMU SANA KINACHOTAKIWA NI KUMUOMBA SANA MUNGU ILI UPATE MWENZA ANAYEKUFAA. LAKNI HATA BAADA YA KUMPATA ANAYE KUFAA USIOME KUOMBA HEKIMA NA BUSARA ZIZIDI KUTAWALA MIOONI MWENU KWANI BINADAMU TUNABADILIKA KWA WAKATI WOWOTE.
 
Nimemsikitikia kutoka kwenye familia ambayo mwanamke anathaminishwa kwa hatua za maisha yake. Vipi wanafamilia wasiosoma? Wasio na kipato cha kati? Waliooa na kuolewa ila hawana watoto, nyumba, Magari etc? Waliotengana na mwenza kwa sababu ya kukimbia kipigo ama manyanyaso? Vipi huyo dada alieolewa kwa ubani kwa sababu mlishakata tamaa akaachana na Mume wake na kurudi nyumbani? Atapokelewa?

Thamani ya mtu haiwezi kulinganishwa na vitu ambavyo ni material. Mungu amsaidie dada yenu awe ameolewa familia yenye wanawake wa Shoka, watakaomfundisha kuwa ana thamani na anaweza kuwathamini wanae pia.
Mtu lazima ujithamini mwnyw kwnz kabla hujathaminiwa
 
tatizo wengine hatukuona sababu maana kale kamchezo ukikataka mda wowote unapata kwa yeyote so hatukuona sababu ya kufuga kuku wakati mayai yanapatikana popote
NA HII KITU UMETULETEA SHIDA SANA VIJANA WOTE SI WAKIKE SI WA KIUME, NA MATOKEO YAKE TUNACHELEWA SANA KUOA AU TUNAISHIA KUZALISHANA NA BAADA YA HAPO KILA MTU ANAPITA NJIA YAKE.
 
Mwanaume akija yeyote anakuwa amechagua. Mwanamke akiolewa na yeyote anakuwa gari la mkaa hachagui mzigo.

Tufanye umeshinda mkuu. Nimekuelewa sana.
Wanawake wakiitambua Nguvu waliyonayo mtapata shida sana aisee. Ongezeni juhudi kuwakandamiza. Leo ni siku ya mtoto wa kike duniani, najisikia kama sikanyagi ardhi vile hehehe (nakutania mwaya)
Kuna watu wana madharau humu duniani hadi unawaza ni malaika nini!!
Kumbe....... [emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Nimemsikitikia kutoka kwenye familia ambayo mwanamke anathaminishwa kwa hatua za maisha yake. Vipi wanafamilia wasiosoma? Wasio na kipato cha kati? Waliooa na kuolewa ila hawana watoto, nyumba, Magari etc? Waliotengana na mwenza kwa sababu ya kukimbia kipigo ama manyanyaso? Vipi huyo dada alieolewa kwa ubani kwa sababu mlishakata tamaa akaachana na Mume wake na kurudi nyumbani? Atapokelewa?

Thamani ya mtu haiwezi kulinganishwa na vitu ambavyo ni material. Mungu amsaidie dada yenu awe ameolewa familia yenye wanawake wa Shoka, watakaomfundisha kuwa ana thamani na anaweza kuwathamini wanae pia.
Kama hizi ndizo mentality za waafrika basi tunayo safari ndefu sana aisee!! Aliyeturoga alikufa na ktk kaburi lake waliweka zege kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hapana espy. Kuna wanaume wa kiafrika wanaotambua thamani ya mtoto wa kike, na wanamlinda kwa Nguvu na akili zao zote. Yaani huyu mmoja asikukatishe tamaa. Ndio maana natamani huyo dada yake alieolewa kwa ubani tu angekuwa wifi yangu nikamuambia mimi babangu alitaka kama symbol tu kuwa mahari ililipwa na hakukuwa na biashara ya kuuza bintiye. Kwamba mahari haiongezi ama kupunguza thamani yako.

Tutafika tu. Tuwafundishe watoto wetu wa kiume ili wakathamini wanawake wengine.

Back
Top Bottom