Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwahiyo mko wote?Nipo mama shetan alinipitia tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mko wote?Nipo mama shetan alinipitia tu...
Hamna mwanamke asiyetaka kuolewa huo ndio ukweli
Mwanamke ana nguvu kwny haya masuala ya kuolewa
Mm nina dada yangu mmoja kaolewa mwaka huu alikuwa anafikisha 36 kila siku tulikuwa tunaomba ajitokeze mbabe mmoja wa kivita amchukue akatokea jamaa mmoja wa mkoani huko tukamwambia mahari ubani tu mchukue mwenzio mkayajenge
Mtu lazima ujithamini mwnyw kwnz kabla hujathaminiwaNimemsikitikia kutoka kwenye familia ambayo mwanamke anathaminishwa kwa hatua za maisha yake. Vipi wanafamilia wasiosoma? Wasio na kipato cha kati? Waliooa na kuolewa ila hawana watoto, nyumba, Magari etc? Waliotengana na mwenza kwa sababu ya kukimbia kipigo ama manyanyaso? Vipi huyo dada alieolewa kwa ubani kwa sababu mlishakata tamaa akaachana na Mume wake na kurudi nyumbani? Atapokelewa?
Thamani ya mtu haiwezi kulinganishwa na vitu ambavyo ni material. Mungu amsaidie dada yenu awe ameolewa familia yenye wanawake wa Shoka, watakaomfundisha kuwa ana thamani na anaweza kuwathamini wanae pia.
Nimeshamkataa ndio maana unaniona hapa[emoji3][emoji3]Kwahiyo mko wote?
NA HII KITU UMETULETEA SHIDA SANA VIJANA WOTE SI WAKIKE SI WA KIUME, NA MATOKEO YAKE TUNACHELEWA SANA KUOA AU TUNAISHIA KUZALISHANA NA BAADA YA HAPO KILA MTU ANAPITA NJIA YAKE.tatizo wengine hatukuona sababu maana kale kamchezo ukikataka mda wowote unapata kwa yeyote so hatukuona sababu ya kufuga kuku wakati mayai yanapatikana popote
Soo dada yako hajithamini... si ndivyo eti leteni ubani nyeee yani familia nyingine hasara tupuMtu lazima ujithamini mwnyw kwnz kabla hujathaminiwa
Aiseeewajuajii
Kwanini usiamini kuwa love talks? Au umeamua kuwaza kwa niaba yao!!
Soo dada yako hajithamini... si ndivyo eti leteni ubani nyeee yani familia nyingine hasara tupu
Kuna watu wana madharau humu duniani hadi unawaza ni malaika nini!!Mwanaume akija yeyote anakuwa amechagua. Mwanamke akiolewa na yeyote anakuwa gari la mkaa hachagui mzigo.
Tufanye umeshinda mkuu. Nimekuelewa sana.
Wanawake wakiitambua Nguvu waliyonayo mtapata shida sana aisee. Ongezeni juhudi kuwakandamiza. Leo ni siku ya mtoto wa kike duniani, najisikia kama sikanyagi ardhi vile hehehe (nakutania mwaya)
Kama hizi ndizo mentality za waafrika basi tunayo safari ndefu sana aisee!! Aliyeturoga alikufa na ktk kaburi lake waliweka zege kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nimemsikitikia kutoka kwenye familia ambayo mwanamke anathaminishwa kwa hatua za maisha yake. Vipi wanafamilia wasiosoma? Wasio na kipato cha kati? Waliooa na kuolewa ila hawana watoto, nyumba, Magari etc? Waliotengana na mwenza kwa sababu ya kukimbia kipigo ama manyanyaso? Vipi huyo dada alieolewa kwa ubani kwa sababu mlishakata tamaa akaachana na Mume wake na kurudi nyumbani? Atapokelewa?
Thamani ya mtu haiwezi kulinganishwa na vitu ambavyo ni material. Mungu amsaidie dada yenu awe ameolewa familia yenye wanawake wa Shoka, watakaomfundisha kuwa ana thamani na anaweza kuwathamini wanae pia.
Ooooh! Nilijua mko wote nikwambie akae huko huko ili tupumue[emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimeshamkataa ndio maana unaniona hapa[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hasara taslim na risiti juu!Soo dada yako hajithamini... si ndivyo eti leteni ubani nyeee yani familia nyingine hasara tupu
Mie zaidiNakumiss lakini
Sijamaanisha faida unaliyoimaanishaKwahiyo unataka mahari uambiwe lete milion 2?...ndio iwe faida
Kama hizi ndizo mentality za waafrika basi tunayo safari ndefu sana aisee!! Aliyeturoga alikufa na ktk kaburi lake waliweka zege kabisa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mh! LabdaUsijekuta huyo ndo mtoa ushauri hapo juu?
Ha ha jf kichaka
WamechafukwaAisee....