Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

Kupata kazi nzuri nimepata naona kawaida pia ndoa nlikua natamani Sasa naona kawaida nimegundua kwenye maisha Kila level Ina changamoto zake hakuna siku utasema sasa nimemaliza kila kitu nipumzike ni enjoy so Kila hatua uliyopo jifunze kua grateful na kutafuta furaha hapo usiseme mpaka nipate kitu flani na flani coz utapata hivyo vitu na zitakuja changamoto mpya
 
Nilitamani sana kuwa na
1 Familia,Watoto yaani ile kuitwa mama na mume pia aniite mama(napenda mno), nitoke kazini nikirudi home kuna viumbe wananiita mama🥰
2 Kuwa na CPA.
Nk.

Cha ajabu hamna hata kimoja kilichotimia hapo, CPA nayo inanipa za uso😔 but Mungu ni mwema i hope yote yatatimia hata kama kwa kuchelewa.🙏
 
Mungu akufanyie wepesi.....utatimiza yote ni suala la muda tu
 
Nilitamani sana kuwa na
1 Familia,Watoto yaani ile kuitwa mama na mume pia aniite mama(napenda mno), nitoke kazini nikirudi home kuna viumbe wananiita mama[emoji3059]
2 Kuwa na CPA.
Nk.

Cha ajabu hamna hata kimoja kilichotimia hapo, CPA nayo inanipa za uso[emoji17] but Mungu ni mwema i hope yote yatatimia hata kama kwa kuchelewa.[emoji120]
Financial services unajua sikuelewi elewi. Alaf mambo ya kuniita mkuu sitaki.
 
Kuwa na hela na kuweza kufanya chochote kile, iwe kusafiri nje ya nchi, kula bata, etc. Ila sioni tofauti yoyote huko nyuma na sasa. Hata ulaji wa bata unachoka. Weekends siku hizi nakaaa tu nyumbani. Ukishakuwa na pesa chache tu marafiki nao naona kama sio wa ukweli. Wako kimaslahi zaidi kuliko kuthamini urafiki. Kilichobadilika tu ni kwa sasa naweza kusafiri ninapotaka. Ili nikishafika huko napokwenda, sioni cha ajabu. Maybe umri nao umekwenda.
 
Wakuu,

Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish...

Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na nyumba zao, sasa wanazo so wanaona ni kawaida tu, Wengine magari sasa wanayo so inaonekana kawaida tu...

Wengine kuwa na familia n.k Wengine hata elimu tu, kuna wale waliokuwa wanatamani kuwa na degree, masters au hata PHD sasa wanazo na ishakuwa kawaida tu!

Kila ambition mi naona kama inawezekana kwenye maisha ni kutia nia tu,

Kila unachokiona/kitamani kuwa nacho inawezekana kabisa.

Sasa kuna baadhi ya vitu vinachelewa, ila vinakuja tu!

Je, ni kitu gani mdau ulitamani kuwa nacho au kukifanya na sasa imewezekana na unaona kawaida?

Binafsi, nilichelewa sana kusafiri kwa kutumia ndege!!

Kwa sasa nasafiri na ndege maeneo mbalimbali Duniani kuliko hata ninavyosafiri na gari.

Sasa imekuwa kawaida sana 🤗.

Twende kazi.....
Kutongoza demu, nafikili mimi nilikuwa rais wa madomo zege wote. Yahani mademu walikuwa wanajitongoza wenyewe lakini nilikuwa nashindwa kumaliza mchezo. Madogo wawili wanaonifuata wanabadilisha mademu lakini mimi sijui hata kunyandua inakuwaje.

Lakini sasa kwa siku ninaweza kuwatongoza mademu zaidi ya kumi alafu nina saundi za hatari ninawapa mademu wakati mgumu sana kuchomoa
 
🤣🤣🤣
 
Hii ni kwa vijana wadogo. Ni ndefu ila unaweza ukajifunza

Nilipokuwa chali miaka ya sekondari nilikuwa mtu wa muvi, video games kwa sana. Kwetu tulichelewa sana kuwa na TV nilikuwa nashinda sana kwa watu, ilikuwa kero. Nilijiapiza nikipata laptop nitakuwa nimetoboa maisha, nitacheza games zoote, series zote kali hazinipiti. Yaan i was veeery in need of kumiliki computer nikiamini nitakuwa nauwezo wa kupata na games ninazotaka. Nimefika chuo nikakabahatika kupata laptop. Aiseee.. hapo kimbembe kikawa Internet, alaf na video games zikawa limited yaani siwezi kuplay kwa laptop yangu, nikatamani gaming machine. Enzi hizo bora kulikuwa na night pack, mzee nilikuwa silali nashusha vitu but mchana sina hata muda wa ku-relax kihiivo. Naishia kuchek series. Wishes zikawa kwenye Gaming pc.
Nakumbuka nilikuwa naendesha Euro truck tu. Siku moja nikajichanganya nika updated version. Sasa nikiplay game ina stuck stuck kwasabab pc ni ndogo... twende mbele

Hapa nilipo sahivi mishe zinaenda poa.
Nikanunua gaming pc, but kucheza games nikawa mvivu, nikawa natamani series kali, Nikasema nichukue unlimited Internet ya kulipia kwa mwezi. Ninayo sahivi mwezi wa nane. But wishez zimekubali ila mood hamna. Muda hamna. Unakuta mwezi unakata nimetumia tu Gb 80 kwenye unlimited Internet. Games zote nashusha but naona mbaya tuuuu.. kina Forza horizon, Far cry Pes 22, FIFA 19 na 23. Ghost recon zotee hizo nilimiliki.. GTA 5 nilifanikiwa kumaliza. Sahivi ninacheza tu Euro truck tena nikijisikia, sina mood kabisa na game zingine. Sasa mbaya zaidi wishez zimehamia kwenye wheel controller. 🤣🤣 yaani naamini nikipata wheel ndo nitacheza vizuri hio game

Kwa ufupi maisha yetu yametawaliwa na tamaa. Unapokipata kile unachokitamani unaona hata sio kitu, unatamani kingine. Sasa na mbaya zaidi hasa kwa hivi vitu vya tech kila siku vinakuwa bora zaidi.

Imagine niliapa nikiwa mkubwa Jumong na prison break nitaziangalia kuanzia 1 mpaka Z. Lakini leo nikiangalia episod 1 tu nalala hapo hapo.. 🤣
 
Aisee sio mchezo.
Ushamaliza chuo lakini?
 
Back
Top Bottom