Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
KUSIKIA MAMA KAUPIGA MWINGI HUKU HASARA NA UPIGAJI UKIONGEZEKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhani usahihi bado ni suala la dini husika kuwahifadhi wapendwa wao wanaotangulia mbele za haki, kadiri ya mila, desturi na utamaduni Imani yao 🐒But kidini zaidi ni ipi njia sahihi ya kuzika?
Thanks
Mungu akufanyie wepesi.....utatimiza yote ni suala la muda tuNilitamani sana kuwa na
1 Familia,Watoto yaani ile kuitwa mama na mume pia aniite mama(napenda mno), nitoke kazini nikirudi home kuna viumbe wananiita mama🥰
2 Kuwa na CPA.
Nk.
Cha ajabu hamna hata kimoja kilichotimia hapo, CPA nayo inanipa za uso😔 but Mungu ni mwema i hope yote yatatimia hata kama kwa kuchelewa.🙏
Amina ahsante MissyMungu akufanyie wepesi.....utatimiza yote ni suala la muda tu
Financial services unajua sikuelewi elewi. Alaf mambo ya kuniita mkuu sitaki.Nilitamani sana kuwa na
1 Familia,Watoto yaani ile kuitwa mama na mume pia aniite mama(napenda mno), nitoke kazini nikirudi home kuna viumbe wananiita mama[emoji3059]
2 Kuwa na CPA.
Nk.
Cha ajabu hamna hata kimoja kilichotimia hapo, CPA nayo inanipa za uso[emoji17] but Mungu ni mwema i hope yote yatatimia hata kama kwa kuchelewa.[emoji120]
Kwanini hunielewi So? Humu tunaitana mkuu bana au unataka nikuiteje, Great thinker is ok with you?🙆♂️Financial services unajua sikuelewi elewi. Alaf mambo ya kuniita mkuu sitaki.
Amina mkuu!Kwa huu umri nilionao nilitamani sana niwe na kwangu pamoja na kazi labda pia na familia, ila ndo kwanza najitafuta mana sina hata kimoja hapo lakini huu mwaka kabla hujaisha nakwenda kufanya jambo moja kati ya niliyoyatamani.
Kutongoza demu, nafikili mimi nilikuwa rais wa madomo zege wote. Yahani mademu walikuwa wanajitongoza wenyewe lakini nilikuwa nashindwa kumaliza mchezo. Madogo wawili wanaonifuata wanabadilisha mademu lakini mimi sijui hata kunyandua inakuwaje.Wakuu,
Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish...
Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na nyumba zao, sasa wanazo so wanaona ni kawaida tu, Wengine magari sasa wanayo so inaonekana kawaida tu...
Wengine kuwa na familia n.k Wengine hata elimu tu, kuna wale waliokuwa wanatamani kuwa na degree, masters au hata PHD sasa wanazo na ishakuwa kawaida tu!
Kila ambition mi naona kama inawezekana kwenye maisha ni kutia nia tu,
Kila unachokiona/kitamani kuwa nacho inawezekana kabisa.
Sasa kuna baadhi ya vitu vinachelewa, ila vinakuja tu!
Je, ni kitu gani mdau ulitamani kuwa nacho au kukifanya na sasa imewezekana na unaona kawaida?
Binafsi, nilichelewa sana kusafiri kwa kutumia ndege!!
Kwa sasa nasafiri na ndege maeneo mbalimbali Duniani kuliko hata ninavyosafiri na gari.
Sasa imekuwa kawaida sana 🤗.
Twende kazi.....
🤣🤣🤣Kutongoza demu, nafikili mimi nilikuwa rais wa madomo zege wote. Yahani mademu walikuwa wanajitongoza wenyewe lakini nilikuwa nashindwa kumaliza mchezo. Madogo wawili wanaonifuata wanabadilisha mademu lakini mimi sijui hata kunyandua inakuwaje.
Lakini sasa kwa siku ninaweza kuwatongoza mademu zaidi ya kumi alafu nina saundi za hatari ninawapa mademu wakati mgumu sana kuchomoa
Nimerekodi nyimbo mbili tu mkuuUmerekodi ngapi Mkuu?
Aisee sio mchezo.Hii ni kwa vijana wadogo. Ni ndefu ila unaweza ukajifunza
Nilipokuwa chali miaka ya sekondari nilikuwa mtu wa muvi, video games kwa sana. Kwetu tulichelewa sana kuwa na TV nilikuwa nashinda sana kwa watu, ilikuwa kero. Nilijiapiza nikipata laptop nitakuwa nimetoboa maisha, nitacheza games zoote, series zote kali hazinipiti. Yaan i was veeery in need of kumiliki computer nikiamini nitakuwa nauwezo wa kupata na games ninazotaka. Nimefika chuo nikakabahatika kupata laptop. Aiseee.. hapo kimbembe kikawa Internet, alaf na video games zikawa limited yaani siwezi kuplay kwa laptop yangu, nikatamani gaming machine. Enzi hizo bora kulikuwa na night pack, mzee nilikuwa silali nashusha vitu but mchana sina hata muda wa ku-relax kihiivo. Naishia kuchek series. Wishes zikawa kwenye Gaming pc.
Nakumbuka nilikuwa naendesha Euro truck tu. Siku moja nikajichanganya nika updated version. Sasa nikiplay game ina stuck stuck kwasabab pc ni ndogo... twende mbele
Hapa nilipo sahivi mishe zinaenda poa.
Nikanunua gaming pc, but kucheza games nikawa mvivu, nikawa natamani series kali, Nikasema nichukue unlimited Internet ya kulipia kwa mwezi. Ninayo sahivi mwezi wa nane. But wishez zimekubali ila mood hamna. Muda hamna. Unakuta mwezi unakata nimetumia tu Gb 80 kwenye unlimited Internet. Games zote nashusha but naona mbaya tuuuu.. kina Forza horizon, Far cry Pes 22, FIFA 19 na 23. Ghost recon zotee hizo nilimiliki.. GTA 5 nilifanikiwa kumaliza. Sahivi ninacheza tu Euro truck tena nikijisikia, sina mood kabisa na game zingine. Sasa mbaya zaidi wishez zimehamia kwenye wheel controller. 🤣🤣 yaani naamini nikipata wheel ndo nitacheza vizuri hio game
Kwa ufupi maisha yetu yametawaliwa na tamaa. Unapokipata kile unachokitamani unaona hata sio kitu, unatamani kingine. Sasa na mbaya zaidi hasa kwa hivi vitu vya tech kila siku vinakuwa bora zaidi.
Imagine niliapa nikiwa mkubwa Jumong na prison break nitaziangalia kuanzia 1 mpaka Z. Lakini leo nikiangalia episod 1 tu nalala hapo hapo.. 🤣