Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust the Lord,Nilitamani sana kuwa na
1 Familia,Watoto yaani ile kuitwa mama na mume pia aniite mama(napenda mno), nitoke kazini nikirudi home kuna viumbe wananiita mama🥰
2 Kuwa na CPA.
Nk.
Cha ajabu hamna hata kimoja kilichotimia hapo, CPA nayo inanipa za uso😔 but Mungu ni mwema i hope yote yatatimia hata kama kwa kuchelewa.🙏
Kabisa nkakisali2Kupata kazi nzuri nimepata naona kawaida pia ndoa nlikua natamani Sasa naona kawaida nimegundua kwenye maisha Kila level Ina changamoto zake hakuna siku utasema sasa nimemaliza kila kitu nipumzike ni enjoy so Kila hatua uliyopo jifunze kua grateful na kutafuta furaha hapo usiseme mpaka nipate kitu flani na flani coz utapata hivyo vitu na zitakuja changamoto mpya
Amina ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema kwa watu wake🙏Trust the Lord,
Kila unachotamani kitatimia.
Na utafurahia sana wala hutajuta kuchelewa.
Mungu wa Mbinguni aonae haja za Mioyo yetu na akufanikishe kila hatua.
Utabarikiwa uingiapo na Utokapo.
Amen!!
Pole sanaNilitamani nipate muda wa kufurahi na mume wangu tena baada ya kuugua kwake, lakini sikupata tena muda huo kwa kufariki kwake. I hope I will meet him soon.
Ameeen.
Neno gani mkuu?Kuna mahali nilihitaji neno lako
Yeah.. niko kitaa napiga misheAisee sio mchezo.
Ushamaliza chuo lakini?
😂. Mambo yote ni UBATILI kakaMwisho wa siku yote ni UBATILI!
Eeh mkuu muda wa kutamba kwenye hii dunia ni mchache sana.😂. Mambo yote ni UBATILI kaka
Neno gani mkuu?
Njoo piemu tuyajengeKwanini hunielewi So? Humu tunaitana mkuu bana au unataka nikuiteje, Great thinker is ok with you?[emoji2297]
mkuu mbona kama unanisema mimiNatamani sana
1- Kumiliki Makazi
2-Familia
3-Shamba na Mifugo
IIa bado hata kimoja hapa nina laki 2 tu kwa MPESA[emoji17][emoji17]