Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Pole sana, hivyo vipele ndo vimetokea mara ya kwanza ama vinajirudia rudia kwa kuja na kupona?
 
Nimetoka vipele vidogo katika kichwa cha uume haviumi ila vinawasha tu naweza pata dawa gani?
 
Tutajuaje ni kweli mkuu, weka picha tuone je n vipele vya kawaida au la!😁

Mficha maradhi kifo humwumbua.
 
Kaswendwe AKA Syphillis ndo unapata vidonda kama hivyoo aisee Penicillin Inje kama una allergy na Penicil bhasi ceftriaxone injection kwa muda wa week Mbili...!! Hapo upewe na Azithromycin Tabs.
 
Nimetoka vipele vidogo katika kichwa cha uume haviumi ila vinawasha tu naweza pata dawa gani?
Tungeona picha ingependeza....hapa wajuba wakiona picha tu wanakuwa washajua chanzo unapokea maelezo
 
Mkuu pole sana & nenda pale trafic police kama upo dar pale yanapopaki magari brakedown uliza hosp ikowapi watakuonyesha nakuhakikishia utapona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…