Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Daaaah...pole sana kaka!
Jamaa huyo yeye anadai kesha pona hana tena...njoo pm ulete pic nije nijaribu waulize wataalam fulan kama bado unasumbuliwa navyo
Daaah acha tu mkuu vinanipa mawazo sana ila itabid nitume picha maana daaah ni tatizo kubwa sana kwangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
habarini za sa hz..1 nitangulize samahan kwa picha hapo chini landa itawakera badhi ya watu ila imenibid nifanye hivyo coz wanasemaga mficha maradhi kifo humuumbua..

Ni kwa muda sasa tokea mwezi wa 5 kuna vipele vilianza kuniota ambavyo sikuwah kuvipt kbsa kabla...na vipele hvyo vilianza kuwa vidogo na kadri siku zinavyozid kwenda vinakuwa vikubwa na kusambaa sehemu za uume kama kwenye shingo ya uume,kichwa uume na kwenye ngoz ya korodan, na hvyo vipele ni vigumu kiasi na ni kama vinyama vinyma vimeota ju ya ngoz ni mara chache tu vinawasha

..niliwah kwenya kupima nikaambiwa nina HPV nikaandikiwa dawa ya kunywa na ya kupaka bt mpaka namaliza dawa hazikunisaidia.na hii hali inanitisha sana ndo maana nikaja kwenu ndugu zangu najua hii forum ni kubwa sana kama kuna mtu yeyote mwenye kujua kuhusu hili usahauri au tiba naomba anisaidie au dawa pia.

20201216_075450.jpg
 
Aisee noma sana.🙈
Tokea May? Na hii ni December!! Kwanini hukurudi Hosp baada ya dawa kuisha na nafuu haipo.

Rudi hosp aisee, dudu haiwezi kuwa hivyo na wewe umerelax tu miezi yote hiyo.

OT. Safisha kucha
 
Du pole kaka, kuna mbunye nyingine ni sumu hata ukitumia ndom haisaidii, rudi tena hospital utapata tiba, ila pia hapa unaweza pata msaada ila uwe mvumilivu
 
Mkuu inaonekana unapenda mashimo halafu Condom si rafiki kwako. Madhara ya kavu hayo.
 
Aisee noma sana.[emoji85]
Tokea May? Na hii ni December!! Kwanini hukurudi Hosp baada ya dawa kuisha na nafuu haipo.

Rudi hosp aisee, dudu haiwezi kuwa hivyo na wewe umerelax tu miezi yote hiyo.

OT. Safisha kucha
hv kuna mtu anayependa kumwa tena sehemu nyet kama hyo kweli?nilirud nikapewa daqa nyingine na ilibid nibdilishe na hospital lkn bila mafanikio ndo maana nikaj humu mwenye idea na hili coz kuna madaktari humu na kuwa waliowah kupata hili coz jf naamni ni mtandao mkubwa

OT..KUHUSU KUCHA NILITOKA KUMENYA NDIZI COZ MM BACHELOR NDO MAANA ZIKO HVYO[emoji41][emoji41]
 
Mkuu inaonekana unapenda mashimo halafu Condom si rafiki kwako. Madhara ya kavu hayo.
jomba hayo maelekezo ni mafup lkn kabla ya hapo kuna ugonjwa wa ngoz ambo niliambukizwa ndo maana ikichahochea kupta hup ugonjwa ..sijawah kuugua hilo tatzo ni mazingira na mm siyo playboy ki hvyo girlfriend wangu juz imebid mpaka nimuache coz ndo sababu ya hili ...nso wanasemaga usilolijua bi usiku wa giza mkuu
 
Hio naona ni genital warts mkuu, sasa baada ya kuleta uzi naomba hatua nyingine inayofuata ni uende hospitali ili daktari aweze kuexamine severity ya hivyo vipele na pia achukue blood samples.
 
Hio naona ni genital warts mkuu, sasa baada ya kuleta uzi naomba hatua nyingine inayofuata ni uende hospitali ili daktari aweze kuexamine severity ya hivyo vipele na pia achukue blood samples.
Nashukuru sana Watu kama nyie ndo mnatakiwa bitalifanyia hili nasubiria mwenje kujua mwenye tatizo hili kwa kina au hospital maana nimezunguka sana..unajua siku hizi hata hospital hawatibu bt wako kimaslah
 
Hizo zinaitwa Genital warts.

Kuna dawa flani ya kuvichoma.
 
Kuna dawa mlimani city kwenye duka la dawa inaitwa buzuka ya kuvichoma ivo kanunue.
Ùsifanye mapenz kwa njia ya mdomo mzee au ùsinyonye mzee.
 
Dah pole sana mkuu ila nashauri sogea Marie Stopes ilio karibu nawe watakupa muongozo

Back
Top Bottom