Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Hiyo ni VIRUS sio fungus...!!! Yani hapo ungemaliza hata Kontena zima la Dawa na fungus na antibiotics.

Inaitwa HERPES SIMPLEX...ni ugongwa unaotokana na virus ambao mara nyinyi hukaa ukeni lakini pia huwapata watu wenye Upungufu wa kinga mwilini zaidi kama dalili ya ugonjwa kama HIV japo yenyewe huitwa Herpes Zoster.

TIBA. TUMIA ACYCLOCIR CREAM NA ACYCLOVIR VIDONGE kwa muda wa Siku KUMI.. utaona matokea pole sana

Wewe baki kwenye kula tunda mkuu.

mimi niliisha pata tiba nikapona nikasahau since mwaka jana uko. Huo ni ugonjwa wa ngozi walinambia ni ukurutu na kwa bahati ni kweli maana nliishi Mkoa flan uko maji yalikua yanatoka mara 1-2 kwa wiki afu yanakaa kwenye matenk ya chini so nlipatia uko.

unachangiwa na maji unayotumia kama ni machafu, kushare matandiko na wengine hii sana sana ni kwa wanafunzi.

Mwili unakua unawasha especially jioni so mtu anashauriwa kumuona daktar wa ngozi apate tiba na kufata kanuni za usafi kama kubadili matandiko ata kila baada ya siku 3 , kujiweka msafi mda wote na ufuaji wa nguo kwa maji safi.

Mtu asinifate inbox kwa kuhutaji nimtajie majina ya dawa kwakua mimi sikumbuki majina ya dawa maana vilikua n vidonge nlikunywa mwezi mzima na uwezi kunywa dawa pasipo ushauri wa daktari so nashauri mtu amuone daktar wa ngozi kama upo Dsm nenda pale posta karibu na laptop city hospital ya burhan utapata msaada omba appointment ya kumuona daktr wa ngozi ugonjwa huu una ambukiza kama mnashare vitu maana mimi nliumwa, watoto nyumba nzima na Kaka angu.
 
Sasa hata dawa uliyopewa hujui ni dawa gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nkajua unaleta shule kumbe maneno ya kwenyw khangaaa haya mkuu alafu UKURUTU dawa yake ni kuoga mkuu jitahdi uwe unaoga...

Unaweza kuwa mtu mzima ila hauna busara nimekupa fact nimeumwa mwaka jana mwezi wa tisa uko mpaka sasa ni mwaka umepita dawa nitakumbuka? Mimi nimesoma kuhusu mambo ya madawa?

Nimetoa muongozo kua wapi watapata tiba au haujasoma?

Nimekupa sababu why nikapata ugonjwa je na hawa wengine pia hawaogi ?

Ukubwa sio umri bali ni hekima, busara pamoja na utashi ukubwa sio majigambo au ujuaji mwingi. Naomba nisikujibu vibaya maana atuwezi lingana kwa akili na Maarifa uwezo wako wa kufikili nimeuona unaishia wapi ni jumatatu hii mkuu wacha tujenge taifa.
 
Sasa aliekosa busara nani...!! Nimeshauri tokana na uelewa wangu na ninachokifahamu.. Wewe umekuja na kejelii na kukosoa nilichosema nikajua una fact kumbe maneno ya khangaa......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi ushauli wako sio na umekurupuka maana ukisoma bandiko hili utaona nliwai jibu kuwa nlipata tiba na hii ni baada ya madaktar kanjanja wengi wajuaji kumbe hawajui wanakharibu taaluma za watu.

Before tiba nlizunguka hospital zote unazozijua hapa mjini Dar ila wapi nimekuja pata tiba kwa mwanadada pale burhan na nlivyo mpa tu maelezo ata dk 5 azikuisha akanambia ata usinioneshe nishajua unasumbuka na nini.

Nyuma apo nimekunywa dawa nyingi sana plus sindano za magonjwa ya zinaa, damu nimepima mpk nkachok kumbe lilikua tatizo kidogo, kama hii taaluma ni yako basi yakupasa uitendee haki na sio kebehi nlichokujibu nlitaka tu kukuonesha kua busara ni kitu cha msing ktk afya za watu na kazi azifanywi kimazoea maana magonjwa mengi dalili zina shabirihihana.
 
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi azai.

Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua.

Ninawashwa sana mwilini na vijipele vimetokea mkononi na sehemu za siri nimepima hospital kama BURHAN, Legency wanasema siumwi kitu ila hali yangu mimi naona inazidi kua mbaya.

Majuzi nimepima hospital ya mtaani wakasema na syphilz nimeanza matibabu ya sindano zile nne za mwezi mpaka sasa nishachoma sindano 2 ila bado hali iko vile vile tena ndo inazidi kabisa.

Mwenye msaada naomba anisaidie nawashwa sana mwili.

View attachment 1183912View attachment 1183913View attachment 1183915

UFAFANUZI WA JUMLA TATIZO HILI KUTOKA KWA MTAALAMU

MASUNDOSUNDO, MALENGELENGE, VINGWARU NA VIPELE LAINI NA VIDOGO SEHEMU ZA SIRI
Ukiwa mzima mshukuru Mungu mara mia mia, sisemi ukiwa sio mzima usimshukuru Mungu la hasha ila ninataka kuonyesha msisitizo ya kwamba kuna watu wanateseka na mardhi ya kila aina ile hali wewe mzima kabisa wala huoni sababu ya kumshukutu Mola wako.

Leo ningependa kuongelea habari ya #masundosundo, #vipele laini na #malengelenge sehemu za siri, ni vitu vidogo lakini mara nyingi vinaleta usumbufu hadi wengine kuanza kudhania wameathirika, kumbe sio. Kumbuka ili kujua umeathirika na #VVU lazima uwe umepima. Tabia ya kujipima wenyewe haifai na ni hatari sana. Kuna watu wanaota vinyama laini vidogovidogo kwenye sehemu za siri yaani nfano kichwa cha uume, mashavu ya uke, ndani kwenye mirija ya mkojo, maeneo yanayozunguka haja kubwa, kwenye makoo na mdomoni. Aidha wengine wanaota vipele vidogo vidogo sehemu mbalimbali za siri vinavyopasuka na kuacha maji mnato ivi na kisha kuunda kidonda cha wastani. Usikae na ugonjwa onana na madaktari au washauri wa afya ili uweze kuanza safari ya matibabu.

MAAMBUKIZI NA CHANZO CHA MAGONJWA HAYA ni ukosefu wa kinga imara ya mwili, kujamiiana hovyo kwa njia ambazo sio za asili na kuvaa nguo za ndani chafu. Magonjwa haya ni ya kuambukiza na pia ya kujitakia. Wadudu jamii ya virusi,bacteria na fangasi hupata nafasi kutokana na tabia hizoo na kuanza kushambulia maeneo haya niliyoyataja kirahisi sana.

DALILI ZAKE
  • Kuna vinavyoonekana kwa macho lakini vingine huwa havionekani kabisa utasikia muwasho mkali kama wa kuunguza na moto kwa mbali, iwapo utakuna unaweza tokea michubuko inayochelewa kupona. Iwapo vinaonekana basi ni kama unavyoona katika picha hapo chini.
  • Maeneo yaliyozungukwa na masundosundo saa ingine yanapata ganzi
  • Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri kama ugonjwa upo kwa ndani.
  • Kutokwa na damu ukeni hasa baada ya kufanya tendo la ndoa, ile hali hauko bleed.

UBAYA WA MAGONJWA HAYA
  • Usumbufu wa kujikuna kuna sehemu za siri kila wakati wakati mwingine utajisahau hata mbele ya wakwe
  • Maumivu
  • Ukosefu wa uhuru
  • Kuchochea magonjwa mengine
  • Kukosa uhuru wa tendo la ndoa

NAMNA GANI UTAJIKINGA
  • CHAKULA NI KINGA YA KWANZA, kama hujapata bado basi hakikisha unakula chakula bora chenye uwingi wa vyakula vyenye kukukinga dhidi ya mardhi na vyenye kujenga nguvu ya mwili na kuzalisha seli kwa wingi. Vyakula hivyo ni pamoja na vyakula vyenye protein kwa wingi, mbogamboga na matunda
  • EPUKA NGONO ZEMBE NA NGONO KIYUME NA MAUMBILE
  • Wanawake wasagaji achana na mchezo huo
  • Kuwa msafi kila wakati (hasa mliopo sehemu za joto kama DSM). Badili nguo za ndani mara kwa mara, wanaume mara nyingi utakuta mtu anavaa jeansi moja wiki nzima, hii siyo sawa.
  • Vaa chupi zilizotengenezwa kwa pamba na usivae nguo nyingi za ndani.
  • Siku za bleed tumia pedi za pamba, zenye uwezo wa kuingiza hewa safi na kutoa hewa chafu na kisha kuuwa wadudu wa aina yeyeto walio na uharibifu kwa mwili wako. Sisi tunapendekeza pedi za #Neplily kama hujawahi zitumia jaribu inaweza kuwa ndio mkombozi wako.
Kama tayari umeshapata na unamagonjwa haya kwa muda mrefu au huwa yanakuja na kutoweka basi wasiliana nasi kwa ushauri zaidi. Ili uweze kupata ushauri kwa ajili ya kuongeza kinga yako ya mwili, kupata food suppliment ili kuweza kudhibiti wadudu hawa waharibifu na wasumbufu.

USHAURI KWA WADADA – Mapenzi ya kusagana, kunyonyana sehemu za siri na mapenzi kinyume na maumbile hayafai. Tafuta namna ingine ya kumridhisha mwenza wako. Najua wadada wengi ni wasafi lakini wachache ni wachafu kabisa, pia wengi hamtumii pedi salama.

USHAURI KWA WAKAKA – Mara nyingi wakaka hukutwa na malengelenge kwenye uume na vile vipele laini vyenye kutoa maji, masundodundo wengi yanawatokea kwenye haja kubwa. Wengi hubakia kuwa cariers kwa kuendelea kuambukiza wanawake wengine ile hali wao hawana dalili, kama mpenzi wako ana dalili mojawapo kati ya hizo hapo juu basi na wewe lazima upate tiba ili kumaliza tatizo hili kikamilifu.

Achana na tabia mbaya za ngono kinyume na maumbile, kupiga punyeto, kula vyakula visivyokuwa na matunda na mboga, kuvaa nguo chafu muda mrefu bila kufua, kutumia madawa ya kulevya na pombe kali kupindukia. Kama tayari una tatizo hili tafadhali kwa sasa lina ufumbuzi na utatuzi ambapo utatumia

BAADHI YA MAONI NA USHAURI KUTOKA KWA WADAU WA JF

---

---

---

---
Weee jamaa kwa hyo maupele kwenye yaliisha kabsa maana nmeogopa nilipoona picha hyo mkuuu
 
daaah mkuu una idea ya hii kitu maana inanitesa sana
Sina mkuu, ebu jaribu kupitia comments za wadau na ikikupendeza weka na picha ili wadau waje waone. Ingawa inakupasa kuwa mvumilivu, maana kuna mdada aliusifia mjegejo wa mleta mada pamoja na kuumwa
 
yap mkuu japo vyangu naona ni vya tofaut na huyo mtoa mada vyangu ni kama vile vya kuoteshwa vinyama vidogo vidogo ukijaribu kuvikuna vinatok nyama alf vinaanza vikiwa vidogo alf vinakuwa taratibu

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Daaaah...pole sana kaka!
Jamaa huyo yeye anadai kesha pona hana tena...njoo pm ulete pic nije nijaribu waulize wataalam fulan kama bado unasumbuliwa navyo
 
Back
Top Bottom