talaimarishari
Member
- Jan 30, 2019
- 96
- 109
Ushauri mzuriNahisi hizo ni Razor Bump. Ngozi yako ipo sensitive utumiapo vinyoleo. Nakushauri jaribu kutumia pre-shave oil kabla ya kushave na after shave baada ya kushave.
Sijui nimetoa ushauri mzuri.[emoji848]
Afanyie kazi uliyomshauri ataona changes
Au wakati unashave usitumie wembe maana huwa unakwangua sana tumia shaving machine na hayo mafuta.
Kama tatizo halitoisha basi Utakuwa na tatizo linalohitaji msaada wa kitaalam zaidi