Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.
Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpk za kopo ila bado tatizo linanisumbua.
Ninawashwa sana mwilini na vijipele vimetokea mkononi na sehemu za siri nimepima hospital kama BURHAN, Legency wanasema siumwi kitu ila hali yangu mimi naona inazidi kua mbaya.
MaJuzi nimepima hospital ya mtaani wakasema na syphilz nimeanza matibabu ya sindano zile nne za mwezi mpk sasa nishachoma sindano 2 ila bado hali iko vile vile tena ndo inazidi kabisa
Mwenye msaada naomba anisaidie nawashwa sana mwili
View attachment 1183912View attachment 1183913View attachment 1183915