Nenda muhimbili,new opd building... Umuone consultant physician yeyote utakayemkuta....Fanya upesi maana STI sio mchezo....n vema uende na uliyetombana naye ili mtibiwe wote
Ngoja wahuni wa humu wapite kwenye huu uzi, utachukua mwelekeo tofauti kabisa.
Acha biashara mchanaaa broPole Mkuu kwa tatizo linalokusumbua kwa haraka haraka bila kupepesa utakuwa una ugonjwa unaoitwa Genital Herpes infection ambao husababishwa na Herpes simplex virus type 1 & 2 ila kwa upande wako naona ni type 2 ndio inakusumbua, maana nimejaribu kuangalia na hizo blister hapo katika mwili wako zimekaa kama za herpes plus ukijaribu kuvitumbua najua utakuwa unapata maumivu ya ajabu....
Hivyo basi ningependa uende maeneo ya pale sanitas mikocheni wachukue damu ili waweze kufanya analysis ya damu kwa Polymerase chain reaction (PCR) au hata Serological test ili ku confirm ugonjwa husika..
Kuhusu tiba incase ikagundulika una herpes infection wanatibu dalili husika, ila kwa hapo baadae utapata long life immunity amabyo itakuwezesha kutokupata huo ugonjwa tena.
NB: Ugonjwa huu madaktari wengi huhisi ni ugonjwa wa fangus, bacterial au ugonjwa wowote wa njia ya mkojo ambapo huwa ni uwongo...
Hivyo wahi kwenye hiyo hospitali kama wewe ni mkaaji wa dar es salaam uweze pata tiba kila la kheri boss.
Kama ni hivyo vipimo na wataaaalam wote wanapatikanika MUHIMBILI kwa bei nafuuuu sanaaaaa