Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Kwa upande wa scabies mgonjwa huwa ana ngozi ya bibi kizee na mikunjo mikunjo hasa na mara nyingi scabies inakuwa generalized locallized inakuwa kwa asilimia ndogo mkuu.
 
Ngoja wahuni wa humu wapite kwenye huu uzi, utachukua mwelekeo tofauti kabisa.
Kuna mmoja naona ameusifia kabisa tayari, badala amuonee huruma member huyu anaumwa na kauweka kabisa uchi wake hapa...teh[emoji28]
 
Mkuu waweza kwenda KCMC departiment ya dermatology, wako vizuri sana kwa magonjwa ya ngozi.
 
Pole sana mkuu. Mungu atakusaidia zingatia ushauri uliyopewa hapo juu
 
Ina muda gan hii hali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…