Aisee.Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Anyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
[emoji115]Unapokwenda kwa Dr uwe na vielelezo, hapa bila picha utatibiwa mafungumafungu
Labda uchumi si mzuri, anajaribu kubana matumizi ikishindikana ndio itabidi atafute pesa aende hospitalini.baharia 1 watu huwa wanaenda hospitali kwa maelezo na tiba sahihi wewe unakuja huku ili iweje sasa, Ukishaambiwa dawa ndio utakunywa pasipo ushauri wa Dr your so damn fool man na uache ngono zembe boya wewe
Kwa nini unauza mechi?Hivi inakuaje mpaka unamwamini mwanaume au mwanamke hadi unakulana nae nyama kwa nyama?Wallah siwezi hata kwa nini.Sasa UTI siku utaambukiwa HIV utamlaumu nani?Aisee.
Kumbe kuna magonjwa ya ajabu ya ngono kama hii. Mimi kuugua kwangu ni UTI tu.
Utakuta aliyemuambukiza lina sura mbaya hata yeye mwenyewe anaona aibu kwenda naye kwa daktari.
aiseeMimi kuugua kwangu ni UTI tu
Huyo akamwone Dr ,si fungas hiyo.Akapimwe mkojo by PCR .Apimwe damu pia ili kujua ni Kaswende ama la.Majibu yakitoka atapewa dawa sahihi. Kwa maelezo yake si fungasHyo ni fungus inaitwa Candida, matibabu yake ni vidonge vya Fluconazole 200Mg atleast siku 30 kila siku unameza kimoja
Weka picha tuone hivyo vipele.Anyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
Acheni kukutanisha vikojoleo bila condom.
hili neno unalipenda eehkukutanisha vikojoleo
Hivyo havina noma. Ungetoka majipu majipu ndio ingetakiwa upate hofu kidogo tuAnyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
Okh mkuuHivyo havina noma. Ungetoka majipu majipu ndio ingetakiwa upate hofu kidogo tu
Kama upo Mwanza na umepatia mzigo Mwanza andika maumivu..kitu inaitwa nyenyezo na asili yake ni KampalaAnyway Habar wakuu
Nimetoka na vipere kwenye uume baada ya siku chache nilipofanya ngono zembe naombeni msaada wenu utakuwa ugonjwa GANI wakuu?
HapanaKama upo Mwanza na umepatia mzigo Mwanza andika maumivu..kitu inaitwa nyenyezo na asili yake ni Kampala
Akipona ajifunze matumizi sahihi ya kondomu , utamu wa dk 5 , unakuvua utu , kitendo cha kushinda kwa madaktari unaonesha mkuyenge umejaa mapere kama jabulaniHuyo akamwone Dr ,si fungas hiyo.Akapimwe mkojo by PCR .Apimwe damu pia ili kujua ni Kaswende ama la.Majibu yakitoka atapewa dawa sahihi. Kwa maelezo yake si fungas