Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

UTI mnakuwa mna dalili zipi?
 
Pole sana. Picha nimeona na mapele vivyo hivyo.

Ila ni ngumu kusema, ungepaswa kuambatanisha na dalili nyinginezo. Je, zinawasha? Unapata maumivu wakati wa kukojoa? Unaenda uani mara kwa mara?

Hivyo vipele vimekuanza lini? Vinaongezeka!? Vinapasuka baada ya muda?

Pole sana.
 
Nakojoa vizuri kama kawaida tuh situmii leo vina siku ya 4 yaan inshort nibipere havina maumivu yoyote
 
Sorry haujisikii homa kwa mbali? Kama unahisi homa na uchovu, hiyo itakuwa Genital Herpes.

Go and see your doctor for more examinations!
 
Gono hiyo,nenda hospital watakuandikia Sindano. Na wasiliana yule uliyegusishana nae vikojoleo nae atibiwe.Na yeye awasiliane na wote aliolala nao.Inapona hiyo.Sema baada ya miezi mitatu ukapime na ngoma.
Hii list itakuwa ndefu sana😂
 
Jamaa hayupo serious kabisa. Unaweza kuta akapuuzia haya madini.
 
Habari za leo, nimeona thread yako na nimelazimika kukutafuta,
Ugonjwa ulio kupata nami umeipata, militaka kujua ulipona kwa kutumia dawa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…