Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mkuu huo sio ugonjwa wa zinaa na wala hauhusishwi kabsa na mambo ya ngono,,,, chanzo cha huo ugonjwa ni UCHAFU KUZIDI MWILINI,, na sio kama najiropokea bro naongea kutokana na experience niliyokua nayo, nakumbuka nikiwa nakaa hostel huu ugonjwa ulinipata na sio mm tu pamoja na masela zangu!

Tiba hasa ya huo ugonjwa ni dawa flani hivi ni kimiminika na inarangi ya pink (samahani jina nimesahau) na imetengenezwa hapahapa nchini mkoa wa mwanza, changamoto ya hio dawa ni inaunguza mapumbu kinoma bro na kama umepaka bila kuoga utafrahia show,

Unatakiwa ukishapaka ukae sehemu ambapo kuna upepo mwanana lacvyo unaweza kuunguza hio mali!!! Sina la zaidi bro na polee sana coz huo ugonjwa naujua balaa lake zito
 
Na mara nyingi ukivipasua hivyo vipele hua vinatoa majimaji ya moto,,, nakusihii kama unavipasuaga acha mara moja kwa7bu ndio unazidi kueneza hao virus,,,, huku ukiendelea kutumia dawa basi nakuhakikishia wiki moja haiishi utakua umepona kabisa
 
Niliwahi kuupata huu ugonjwa wakati nina 10yrs kuna dawa nilikuwa napaka ya majimaji pamoja na cream ilikuwa inaiunguza balaa utafikiri moto vilikuwa vinawasha hivyo vipele ukijikuna vinaongezeka mwisho vilipona
 
Gonjwa Hilo

Mamaaae
 
Soma kidogo Lichen Plunus mkuu.. nadhani ni hiyo unayo na haina Tiba inaisha yenyewe in 2 to 9 yrs.
 
Mimi na mizizi yangu nasubili wamalize wazungu, wakichemka njoo upate dawa. Hatuwezi kubali ndg yetu upotee.
 
Niliwahi kuupata huu ugonjwa wakati nina 10yrs kuna dawa nilikuwa napaka ya majimaji pamoja na cream ilikuwa inaiunguza balaa utafikiri moto vilikuwa vinawasha hivyo vipele ukijikuna vinaongezeka mwisho vilipona
[emoji23] [emoji23] Mkuu,,, kama nakuona vile hio dawa ilivyokua inakuunguza p**bu!!! Askwambie mtu bro moto wa ile dawa hauelezeki [emoji51][emoji51],, pole sana
 
Ndyo uzur wa JF!
 
Safi sana!
 
Kijana bila shaka hujamaliza Dozi

[emoji117]Iyo ni Primary Chancre ya Syphilis

Yaan Syphilis stage ya kwanza .


Embu Maliza hakikisha unamaliza Dozi.... Ukiishia njian itaingia stage ya pili isambae mwili mzima...ukipuuza tena inakwenda stage ya tatu[emoji23][emoji23]

Pole jaama.


USIFANYE SEX KABISA, AU USIFANYE BILA KINGA MAANA UPO KTK RISK KUBWA YA KUPATA HIV.
 
Mkuu utakua poa, mdogo angu alikua Na Huo ugonjwa ila yeye Hivyo vipele vilikua kwene korodani, alitumia dawa ya kupaka ya tube kwa week mbili akapona kabisa, hivyo utakua sawa Mkuu usiwaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…