Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.

Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpk za kopo ila bado tatizo linanisumbua.

Ninawashwa sana mwilini na vijipele vimetokea mkononi na sehemu za siri nimepima hospital kama BURHAN, Legency wanasema siumwi kitu ila hali yangu mimi naona inazidi kua mbaya.

MaJuzi nimepima hospital ya mtaani wakasema na syphilz nimeanza matibabu ya sindano zile nne za mwezi mpk sasa nishachoma sindano 2 ila bado hali iko vile vile tena ndo inazidi kabisa
Mwenye msaada naomba anisaidie nawashwa sana mwiliView attachment 1183912View attachment 1183913View attachment 1183915
 
pole sana iyo issue yako ni viral kuna drugs ukitumia zitaleta matokeo mazuri plz nicheki 0624986177 nikusaidie.....
 
Habari zenu wana JF , samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kua mficha uchi azai.

Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpk za kopo ila bado tatizo linanisumbua.

Ninawashwa sana mwilini na vijipele vimetokea mkononi na sehemu za siri nimepima hospital kama BURHAN, Legency wanasema siumwi kitu ila hali yangu mimi naona inazidi kua mbaya.

MaJuzi nimepima hospital ya mtaani wakasema na syphilz nimeanza matibabu ya sindano zile nne za mwezi mpk sasa nishachoma sindano 2 ila bado hali iko vile vile tena ndo inazidi kabisa
Mwenye msaada naomba anisaidie nawashwa sana mwiliView attachment 1183912View attachment 1183913View attachment 1183915
Tafuta tangawizi mbichi saga au ponda pamoja na limao nalo ulisage changanya na maji kidogo kama unayo asali waweza kuweka kijiko kimoja japo sio lazima kivile

Kunywa glass moja au kile kikombe cha robo lita tele kwa siku kama ni glass hakikisha unakunywa glass 2 siku tatu tu tatzo kwisha

Kama hujaelewa njoo pm....nikushauru buree
 
Daaah huo muwasho sio mchezo nakumbuka usiku nilikua nalala kwa mateso sana
 
Nina amini hata Mungu atazidi kukubariki mkuu maana hujamkejeli hata nukta moja,umetumia uwezo wako kumshauri ! Aisee sema tu humu ndani hatujuani ningekupa tuzo kabisa,upo vizuri sana kwakweli mkuu Mungu akushike mkono kwa lolote utakalomwomba
Pole Mkuu kwa tatizo linalokusumbua kwa haraka haraka bila kupepesa utakuwa una ugonjwa unaoitwa Genital Herpes infection ambao husababishwa na Herpes simplex virus type 1 & 2 ila kwa upande wako naona ni type 2 ndio inakusumbua, maana nimejaribu kuangalia na hizo blister hapo katika mwili wako zimekaa kama za herpes plus ukijaribu kuvitumbua najua utakuwa unapata maumivu ya ajabu....

Hivyo basi ningependa uende maeneo ya pale sanitas mikocheni wachukue damu ili waweze kufanya analysis ya damu kwa Polymerase chain reaction (PCR) au hata Serological test ili ku confirm ugonjwa husika..

Kuhusu tiba incase ikagundulika una herpes infection wanatibu dalili husika, ila kwa hapo baadae utapata long life immunity amabyo itakuwezesha kutokupata huo ugonjwa tena.

NB: Ugonjwa huu madaktari wengi huhisi ni ugonjwa wa fangus, bacterial au ugonjwa wowote wa njia ya mkojo ambapo huwa ni uwongo...

Hivyo wahi kwenye hiyo hospitali kama wewe ni mkaaji wa dar es salaam uweze pata tiba kila la kheri boss.
 
Hapana mkuu, huyu kijana ameuweka kabisa yaani....
Hapa kauanika kabisa mkuyenge mujarab kabisa...teh
si unajua hata tezi dume inapimwa kwa middle finger ? ukiwa mgonjwa lolote laweza kukutokea na ukaona poa tu.
 
Back
Top Bottom