Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Kiongozi umenena vyema.

Mimi nashauri umuone Dr. Bingwa wa magonjwa ya ngozi. Usiende kwa madokta wa kawaida. Ulizia Dr. Bingwa wa magonjwa ya ngozi. Kwa muhimbili wanapatikana muda wowote, ila kwa hospitali binafsi wanapatikana jioni.

Ushauri. Kuna ugonjwa unaitwa scabies, na madokta wengi huwa wanakosea diagnosis yake kwa sababu ya kutokuwa na dalili hizo hizo kila wakati.

Mimi japo sio Dr. Lakini ningesema kwenye kichwa chako cha uume ni scabies, lakini scabies huwa haina blisters mwili mzima. Sehemu ambazo parasites waliingilia ndiyo huwa panawasha, na usiku muwasho unakuwa mkali sana, na hizo sehemu zenye muwasho huwa zina viuvimbe kwa sababu ya burrows za wale parasites.

Fanya hima ufanyiwe test. Lakini pia check tena VDRL kuncofirm kama kweli una Sypillis. Katika moja ya hospitali nzuri kwenye vipimo na maabara ni Regency. Kama walifanya kipimo cha Sypillis na hawakuona, basi nasita kusema ni Sypillis. Labda kama hukupimwa huo ugonjwa.
Hii hospitar nzuri ya maabara ipo wapi kwa dar hata kuna shida inanisumbua ebu nisaidie 0756805540
 
Kuna kasindano kanaitwa powerself kama sikosei.kuna mshikaj wangu ulimsumbua sana na kaugonjwa kama hako halafu alikua anafichaficha alijiuguza mda mrefu sana ila alipoishiwa pesa aliomba msaada.
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA

IVI IYO PICHA YA MB....HAIWEZI KUFUTWA MAANA KILA NKIINGIA JF. NDO YA KWANZA JUU ADI NAKOSA AMAN YA KUFUNGUA JF NIKIWA KWA WATU...PLUS NA I FEATURE MPYA YA JF. APP YA KUONYESHA PICHA KWA JUU DAH
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA

IVI IYO PICHA YA MB....HAIWEZI KUFUTWA MAANA KILA NKIINGIA JF. NDO YA KWANZA JUU ADI NAKOSA AMAN YA KUFUNGUA JF NIKIWA KWA WATU...PLUS NA I FEATURE MPYA YA JF. APP YA KUONYESHA PICHA KWA JUU DAH
Nenda kwenye settings>photo preview>toa ile tiki.
Hautaona picha tena.
 
Nikweli kabisa mkuu, maana wahenga walivyo sema mfucha uchi hazai....
Lakini hawaku maanisha uanike uchi wako humu Jf.
Misina la kukushauri, ila Pole sana mkuu
Hahaaaa mkuu kwani kaonyesha uchi au kichwa cha boo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA

IVI IYO PICHA YA MB....HAIWEZI KUFUTWA MAANA KILA NKIINGIA JF. NDO YA KWANZA JUU ADI NAKOSA AMAN YA KUFUNGUA JF NIKIWA KWA WATU...PLUS NA I FEATURE MPYA YA JF. APP YA KUONYESHA PICHA KWA JUU DAH
Huwa unafanyaje mkuu,mfano ndio upo kwenye daladala umepata kiti na watu kibao wamesimama wamejiinamia kwa uchovu,tupe uzoefu hapo...
 
Pole sana kiongozi, miaka ya nyuma kidogo nami nilitokewa na vipele kama hivyo hadi sehemu nyeti na vinapenda hasa kushamiri sehemu yenye ngozi laini. Baadae nilikuja gundua ni allergy ya mafuta ya kupikia ndio yaliyosababisha na baada ya kuacha yatumia kwa siku chache vikaanza potea taratibu.
Ila zingatia ushauri wa wadau uende hospital kwa vipimo zaidi kwani miili yetu inatofautiana kwa mengi na magonjwa siku hizi yameshamiri...
 
Tafuta tangawizi mbichi saga au ponda pamoja na limao nalo ulisage changanya na maji kidogo kama unayo asali waweza kuweka kijiko kimoja japo sio lazima kivile

Kunywa glass moja au kile kikombe cha robo lita tele kwa siku kama ni glass hakikisha unakunywa glass 2 siku tatu tu tatzo kwisha

Kama hujaelewa njoo pm....nikushauru buree
Mkuu hyo limao unalisagaje maana huwa ni tunda lenye majimaji
 
Ulipata ujumbe wangu? Ugonjwa ulokuwa nao unaitwa scabbies. Kanunue dawa inaitwa scaboma upake mwili mzima kuanzia usoni hadi kwenye nyao za miguu ukioga usiku...asubuhi usioge papa hits dawa juu yake....utapata nafuu kabisa baada ya wiki. Zingatia Sana Usafi. Data maelezo ya pharmacist.

HIYO DAWA INAUZWA 8,000 HADI 10,000
 
Isisahau kuleta mrejesho nikueleze zaidi masharti ya kuzingatia ugonjwa usijirudie.
 
mkuu nahisi una malengelenge,pengine kinga yako ya mwili inaweza kuwa down,
herpes-genitalis-1.jpg
herpes-genitalis-1.jpg
 
Back
Top Bottom