HOJA MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Uvivu wakati mwingine unasababisha madalali waneemeke.......

Sisi Watanzania hatuna utaratibu wa kufanya window shopping.......hapo kupigwa hakuepukiki.....

Niliwahi kushuhudia mzee mmoja akiambiwa bei ya kitu cha elfu mbili kwa elfu saba......roho iliniuma sana mpaka nikashindwa kuvumilia nikamweleza yule na alinishukuru sana.....
 
Kuna mama mmoja aligoma kuuza nyumba yake....baada ya kugundua kuwa madalali wameweka cha juu kikubwa......

Nyumba ya milioni 50 wao wameuzz milioni 80 yule mama roho ilimuuma sana....akamwambia yule mnunuaji kuwa hauzi nyumba yake.....madalali nusu ya kuzimia.....

Bila shaka wale watu huwa wanakuwa na kauchawi fulani.....
 
That's foolish idea jambazi akisema anasomeshea hela ya wizi kwa hiyo aruhusiwe tu kazi yao imerasmishwa hao wapelekeni kwenye sheria wafungwe tu msiwahurumie wakalime

Shamba,Nyumba na Nyumba,flem watu waweke kupatana bac dalali akauze mkaaa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Hawa watu siwapendi.
Mwanzo Wangu wa kuanza maisha nilitapeliwa elfu 20, inaniumaga mpaka Leo. Sijawahi samehe asee ..yule baba namwombea mabaya kila kukuacha

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kulaa, lazima uliwe...kwa sasa madalali wana njaa balaa..
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wakala na dalali

Wakala

1) anamwakilisha principal wake yaani yuko chini ya mkuu wake

2) Wakala analipwa na mkuu wake kwa "commission" kwa kazi anayoifanya. Example wakala wa vodacom m-pesa huwezi ukasema ni dalali. Huyu akifanya makosa na kusababisha hasara kwa mtu in course of the discharge of vodacom services ambazo voda anadirect touch voda atakuwa vicariously answerable..

3) kisheria constitutes "agent - principal relationship"

4) na principal wake anawajibika katika makosa yote yanayofanywa na agent wake in the course of that business kisheria.

4) Wala hakati kama wanavyofanya madalali.

Dalali (wa hapa bongo) tofauti na wale wanawakilisha taasisi zinazotambulika kisheria kama vile court brokers,

1) hawafanyi kazi chini ya principal yaani hawamwakilishi principal yeyote bali dalali anatokea kwake asubuhi anaingia mtaani.

2) Hawalipwi commission bali wanachukua kiasi kutoka kwenye malipo ya client for a service or commodity purchase by that client

3) Hawatambuliki kisheria

4) Hivyo wanajiamulia wao ...arbitrarily na unfairly...

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Simple tu nenda muone mwenye mali na dalali kisha zunguka muone mwenye mali seaparate akileta pozi na yeye piga chini....usawa huu wa magu naona wanakhwa wapole tu
 
Huko hamna uhuni huu mkuu usidanganye wee kalime acha udalali,uvivu tu unawafanya hoo mi dalali

Na ukiangalia madakili wengi ni majambazi ili jamii iseme ni dalali kumbe hana lolote Mzee mzima eti dalali

Serikali itusaidie kutuondelea haya majizi yasiyopenda kufanya kazi ni kucheza draft tu na kushinda baa

Dalali ni matapeli ndugu yangu alishataoeliwa laki 9 mwaka juzi wakadanganya wanapangisha Nyumba

Jamii tukishijanana tutaondoa kikosi hiki cha kiuni mi nmeshaanza simpi dalali yeyote hela ya mwezi nampa kulingana navoona kazi yake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Na awakwepeki ktk dunia ya sasa,,, ,,kuna vitu ukitaka kuuza ndio utajua muhimu wa dalali, ,,iyo serikali yenyewe inadalaliwa
Sasa huyo dalali ndo apange eti ela ya mwezi mmoja mi ngangali sitaki uhuni huo anatafuta akiisha niweka nampa ef 50 sitoi laki 2 hata siku na moja atanopeleka wapi hamna sheria inayojua hiyo kazi yake

Hizo tunazo wapa ni huruma tu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
pia nyumba unatafuta mwenyewe haikatazwi.
Huwa wenyewe tunatengeneza mazingira ya Kupigwa tu, Maana hatutaki kujichosha kutafuta nyumba. Achana na madalali, ingia katika mtaa unaopenda kuishi ulizia nyumba/Chumba hapo utakutanishwa na mwenye nyumba basi maisha safii.
 
Huwa wenyewe tunatengeneza mazingira ya Kupigwa tu, Maana hatutaki kujichosha kutafuta nyumba. Achana na madalali, ingia katika mtaa unaopenda kuishi ulizia nyumba/Chumba hapo utakutanishwa na mwenye nyumba basi maisha safii.
Huyu ni mgeni wa jiji
 
Na awakwepeki ktk dunia ya sasa,,, ,,kuna vitu ukitaka kuuza ndio utajua muhimu wa dalali, ,,iyo serikali yenyewe inadalaliwa


walipe kodi sasa jamani,siyo tunawapa hela nyingi hivyo kiholela tu..na ni wagumu kupunguza
 
Huwa wenyewe tunatengeneza mazingira ya Kupigwa tu, Maana hatutaki kujichosha kutafuta nyumba. Achana na madalali, ingia katika mtaa unaopenda kuishi ulizia nyumba/Chumba hapo utakutanishwa na mwenye nyumba basi maisha safii.


wenye nyumba wengi hawakubali,atakuambia kuna hela ya udalali lazima utoe ili awapoze siku nyingine wamsaidie kupata mpangaji...
 
Na awakwepeki ktk dunia ya sasa,,, ,,kuna vitu ukitaka kuuza ndio utajua muhimu wa dalali, ,,iyo serikali yenyewe inadalaliwa

Fine,basi wawe waungwana watoze kidogo...imagine unampa hela ya mwezi mmoja...badala angechukua angalau 10%
 
Madalali wapumbavu sana,chumba cha elfu kumi anaweza akakwambia elfu 50 ili yeye apate cha juu.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app


wanaumiza mno hawa jamaa,halafu mbaya zaidi wanaweza kukupandishia kitu kinyume na matakwa na mmiliki wake
 
Aisee umeongea point.. Wachukue tuu 10% inawatosha.. Yani wao wanataka kodi ya mwezi mzima.. Imagine unataka apartment ya mil 2 kwa mwezi.....


Acha tu ndg,wananiumiza mno kila mara
 


Yaani pale ndo hapafai kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…