Mjadala: Rais anapokuwa Mzanzibar kuna haja ya Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wote wa juu wa Jeshi la Polisi kuwa Watanganyika

kawa ufupi ni kwamba watu wa Tanganyika tunazidiwa akili na wazanzibar. Kwa mambo ambayo tunafanyiwa na wazanzibar sisi tukiwafanyia wao hawawezi kukubali kamwe
 

Kwani unafikiri huyo Masauni kwao ni wapi ?? Huyo ni hao hao akina Mwinyi kwwao Tanganyika
 
Samia kachukua wazamzibari na kuwakabidhi waongoze mambo ya ndani na ya nje ya watanganyika, hili halijawahi kutokea na halikubaliki. Watanzania tuamke

Kwani si mliunganisha wenyewe baada uvamizi
 
Ngoja tuendelee na uboya wetu tuone, tena kwa hii CCM ya kihuni,sijui muda ni mwalimu.
 
Ndio itawasaidia nini Machadema? Awamu ya 5 mlifanywa nini na Watanganyika?
 
Ndio itawasaidia nini Machadema? Awamu ya 5 mlifanywa nini na Watanganyika?

Nchi yetu inaenda mbele na haitakaa kusimama. Viongozi wanakuja na kwenda.
Ila lessons za uongozi na changamoto zake, kama zikifanyiwa kazi vizuri, baadae itakuwa rahisi kuto kurudia makosa yale yale.
Tunachojisahau ni kuwa hakuna hata mmoja kati yetu anayejua kwa uhakika future ya Tanzania itakuwaje.
Role yetu ni kuhakikisha tunachangia positively ili wajao wasituweke kwenye mitaala ya kusomea kurudia makosa yale yale aliyofanya Mfalme Mangungu.
Mangungu tunamsamehe sababu hakuwa na idea alikuwa anafanya nini.
Wengine tutadodoswa sana
 
kuna hali ya woga imemkumba , mambo ya ndani wamehodhi wa nga'mbo tokea visiwani na wanajifanyia hovyo hovyo kulinda hatamu ya upande wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…