Mjadala wa Bandari ni ama tuchague kusikiliza mtaalamu Hamza Johari au mpenda sifa Tundu Lissu

From 2000 to 2008 where was he working??
 
Yes amesoma, lakini hana exposure maana baada ya shule amefanya kazi mulemule kwenye majungu majungu na unafiki.

Ningeona mahala kwenye private sector amefanya kazi kimataifa au shirika lolote la kimataifa kwenye level ya decision making ningemuamini.
 
Sasa wewe kwa akili zako kati ya hao wawili unadhani ni nani anaitendea haki elimu yake ya sheria?
Hamza ana uwezo lakini hakubaliki miongoni mwa watu wengi kwani sio mwanasiasa kama Lissu.

Lissu amebarikiwa kuwa muwazi sana, ni kipaji ingawa kinawakera baadhi ya wasikilizaji wa hoja zake.

Hamza ni mtekelezaji wa sera za serikali, ni dondola wa geti jeusi.

Lissu ni mwanasiasa mwenye charisma kubwa sana na pia ni mwanaharakati inategemea na suala husika lipo vipi.

Wote wawili ni hazina za taifa hili.
 
Mnapewaga posho ya shilingi ngapi kwa kuandika hivi?
 
wapi ambapo ameshawahi kufanya maamuzi yenye kuamua hatma ya jambo na yalaleta matokeo chanya?

CV ya elimu sio issue, kufanya kazi humu humu kwenye taasisi za GOT chini ya wale wale wana CCM hakukufanyi kuwa competente kiasi cha kuaminika.

Uaminifu unakuja kama.umefanya kazi international companies ndani na nje kwenye level ya kufanya maamuzi na kuna mahala maamuzi yako yalileta matokeo makubwa.

Ni sawa na kumpa kazi mtu kama CEO wa ATCL, TTCL akafanye maamuzi na kuleta matokeo huku hajawahi kuwa CEO popote pale duniani au hata kuwa head mahala ambapo alikuwa mfanya maamuzi tena in international business.

Mikataba ya kimataifa inahitaji watu wa level hizo za kimatifa sio usomi tu bali exposure na maarifa mengi ya kimataifa.
Ni sawa na kusema Prop Kabudi ni bora kwenye sheria na mikataba ilihali maisha yake yote ni mwalimu na hajawahi kuwepo popote duniani alipractice business aliyosomea kwenye biashara na ikaleta matokeo.
 
Narudia tena, hakuna wataalamu bongo, hawa wote waliopo ni wapiga kelele. Kama ulidhani kuna wataalamu, basi umeukalia.
Wataalam wapo tatizo ni sisi kutokuheshimu utaalam. Na limekuwa ni tatizo linalotukwamisha kupiga hatua za kimaendeleo.

Kudhani kuwa tunajua kila kitu hata kama ukweli ni kwamba hatuna tunalofahamu ni tatizo la nchi nzima.

Mtu kaishia la saba kama Musukuma lakini kila siku anaongea kashfa tupu dhidi ya maprofesa na wafanyakazi wa TRA.
 
Mkuu usiwe mjinga uwe unasoma na kuelewa kabla ya kufanya kama ulivyofanya; nina kutahadharisha kwa sababu uwezo wa kukutukana mpaka ukakataliwa kupanda hata boda ninao

Fala wewe.
 
CV ya Lissu iko juu coz imeanzia chini primary to university sio huyo wa kuunga unga

Huitaji akili ta Lisu kuelewa mambo madogo kama haya. A SMART, LOGICAL young boy wa Form 6 akisoma ule mkataba unbiased ataukosoa.
 
1)Huko vyuo anafundish Nini huyo Hamza?

2)Wanafunzi wake sana maoni gani juu yake?(Rate my professor)

3)Na secondary kasoma wapi?
 
Wasomi wenyewe wameshindwa kuonyesha thamani ya elimu yao na kuamua kutumika kwenye maagizo ya siasa za kijinga. Hiyo imeshusha sana thamani ya wasomi hapa nchini.
 
Wasomi wenyewe wameshindwa kuonyesha thamani ya elimu yao na kuamua kutumika kwenye maagizo ya siasa za kijinga. Hiyo imeshusha sana thamani ya wasomi hapa nchini.
Suala la bandari limeingiziwa siasa nyepesi za majukwaani. Lakini lengo lao la kutaka kuharibu mjadala zitashindwa tu.

Tuheshimu elimu ni mtaji mkubwa sana wenye kuiwezesha jamii kutoka hatua moja na kusogea nyingine nyingi.
 
What for!?
 
Mbona hapo kwenye education ya Hamza hujaweka ACSEE, CSEE na CPEE yake? Hazikuwa karai kweli na ndiyo kapelekwa Kiev kama ilivyo ada kwa wanaopata karai lakini wazazi wao wana uwezo wa kuwapeka huko. Kama anavyo weka na matokeo ya mitihani hiyo na uilinganishe na ya Lisu.
 
Kipindi cha Jiwe JPM,wakati watu na ccm wanapiga makofi kuhusu report ya makinikia na story za vita ya kiuchumi,Lisu alisema ni professorial rubbish,upuuzi mtupu,serikali ikamjia juu,ikataka hata kumuuua,
Leo tumejua ukweli,yale majigambo kuwa tunadi tilioni 400!!ilikuwa upuuzi mtupu!Lisu alikuwa sahihi,
Sasa hili la bandari,mashetani yaleyale ya ccm yanataka tuyaamini?!yanalazimisha tukubali,
Watu wakindsmana kuunga mkono mkataba ni sawa,wakiandmana kupinga,wale kenge polisi wanazuia!!!
 
Cv mbovu sana hii ndiyo maana anatetea maamuzi ya kipumbavu na kilofa.cv ya kuungaunga vipande vya ngazi ya cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…