Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa Lecturer wa Chuo Kikuu ni lazima uwe na PhD. Master degree holder ataishia kuwa tutorial assistant au sana sana Assistant Lecturer.![]()
New boss of the skies: My mission is get us up again
On first contact with Hamza Saidi Johari, one could be forgiven to think that he is an international interpreter. He is indeed a linguist. Johari is a bona fide Tanzanian who speaks fluent...www.thecitizen.co.tz
Au tujaribu ku search pale kwenye mtandao wa NECTA miaka hiyo ya late 1990sInawezekana ukawa uko sahihi, ebu tusubiri humu tuone watasema tu waliosoma nae.
Huyo mwenye setifiketi ya kihindi hajawahi kusimama mahakamani Kwa kesi yoyote Kwa hiyo Hana tofauti na Mimi Kwa kukaririshwaMkuu acha hasira, mie sijahukumu mtu hap, siko kwa Johari wala kwa Lissu, hoja yangu kati ya hao wawili kwenye suala la bandari twende na nani? mwenye certificate ya india ila ya usafirishaji, au mwenye LLM ya Warrick?
Lissu ana shule ya kawaida tu kakuta nchi ina wajinga wengi. Hamza hana kipaji cha mwanasiasa, hana ule ushawishi wa majukwaani ni mtu anaongea taratibu na ana upole ulio silaha mbaya katika ulimwengu wa siasa lakini ni mtaalam sana wa masuala ya sheria na uongozi kwa ujumla.Mkuu uzuri wamekekiri humu wenyewe- Lissu et al si wataalam na kama siyo wataalamu wanamaanisha kuwa ni ule upande mwingine
Mwanzo nilidhani unajua unachoandika kumbe ni mtupu tu usiye na data wala ufahamu wa unachoandika.Hivyo vicertificate vya huko India, kwako unaona ni vya pekee sana?
Hivi, wakiitwa wasomi wakubwa wa nchi hii, na huyu naye utamhesabia? Sasa naelewa ni kwa nini mkataba ule wa DP ni wa hovyo kiasi hiki. Huyu wa elimu ya kuunga unga ameliingiza Taifa kwenye hasara tupu.
Kwani naomba kazi au?Lecturer wa vyuo viwili vikuu unasema elimu ya kuunga!, weka CV ya kwako tuitazame pia.