Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyika tunafahamu cheo chake, mvungi vivyo hivyo na Hiza ameingia kama nani hapo?
Hizza ni zaidi ya taahira.
Mheshimiwa JK pole sana unawakati mgumu... hata kukiokoa chama kwa hali hii sijui nani angekiweza... watu wameoza halafu wanahaha kulindana... pole kaka wengi hawaelewi lakini uko kwenye wakati mgumu sana... sidhani kama watu wanaelewa... na mbaya zaidi wengine wamekupania kukumaliza na mengi yanajidhihirisha unakumbuka walipopinga sana swala la katiba kupitiwa? Watu wakajua ni msimamo wako kumbe masikini vijana hawanan nidhamu hata hawasubiri kukuuliza mwenyekiti mtoe msimamo wenu kwa taratibuzenu rasmi wanaanza kuropoka ona sasa umeafiki kupitiwa katiba wanavyohanaika pole saana
Amejibu eti jk kakubali wananchi waseme kama kunahaja ya katiba mpya kwa kuunda tume itakayo ratibu kuona kama mapungufu ni mengi basi iundwe mpya na kama ni kidogo ifanyiwe mabadiliko
kajibu pumba kasema hajampinga rais bal ni propaganda za vyama'halafu anasema katiba mpya mpaka ya sasa ikionekana haifai kabsa
nimeumiss.. ushaisha?
Huyo mzee anatia hasira sana na ukosefu wake wa elimu.
Yaani ni kama alikurupushwa kuja kuongea pale, hakuwa na muelekeo aongee nini aache nini! Naungana nawe ni aibu kubwa kwa CCM kuwa na naibu wa propaganda kama yule.Imenistaajabisha sana kwa Tamwe hii leo, mmmh!!!
ni aibu kubwa kwa CCM