Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

Shekh, ongezea nna ile ya kila mwanaume kupewa wanawake 72; wote mabikira. Watu hawajui tu....
Atapewa 71 sababu Mkewe wa duniani atakuwa naye so jumla 72.
Kumbuka wote watakuwa katika hali ya Ubikira na Mke wa awali ndie atakuwa kiongozi wa wanawake hao wengine wa peponi.
Na Allah anajua zaidi
 
Wewe ni stone kisser (mbusu jiwe) huwezi jificha , hakuna mkristo anaandika Mungu kwa herufi ndogo
bro mbona hicho kitu kidogo tu naweza andika herufi ndogo lakini moyoni kwangu ana herufi kubwa ni makosa ya kiuandishi tu
 
bro mbona hicho kitu kidogo tu naweza andika herufi ndogo lakini moyoni kwangu ana herufi kubwa ni makosa ya kiuandishi tu
Na kumbuka kuwa Katika Lugha mama ya biblia yaani Kuhebrew hakuna herfi yenye Capital letter herufi zote ni sawa katika kiebrania (nenda kasome kiebrania) Kwahyo swala la kuandika herfi kubwa mwanzoni kwenye Mungu wala Lord ni swala lililoletwa na watafsiri wa Lugha ya kiingereza and not even A greek or latin have capital letter on its alphabet so Anachokisema ni sheria na Mawazo ya Gramar kutoka kwa watafsiri wa Lugha ambayo hapo zaman hayakuwwpo
 
vipi kwa mtu aliyekufa na kuliwa na simba .

atafufuliwaje akiwa uchi.?

Kwa maneno ya Ayubu mwenyewe anasema:

Ayu 1:21-22​

.......akasema, "Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile"; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
 
Kusimamishwa uchi tena mzee 😳😳? Haya ni maarifa mapya 🤣🤣🤣!
Naona watu hamsomi bible

Hawana ,wanabumbabumba kwa kuokoteza kutoka biblia

Hawawez kukupa vizazi vya ishameli, wala kukuelezea waarabu wanapatikanaje kupitia ishamel

Pia hawawez kukuambia Muhammad anatokea ukoo gan au kwa mtoto gan wa ishamel

Lakin ukija kwa Isaka ,unaupata ukoo wake wote , ukitaka kujua kizazi Cha Yesu unakipata kupitia Isaka kwa mtiririko wote,
Dah mwanzo uliposema we Ulikuwa "Mwislamu" nilitaka kukuamini lakini kadri unavyochangia unanitia mashaka sana Kama Kweli uislamu unaujua sisimami upande wowote ila naonyesha iliyokweli pande zote mbili
Ntaanza na kauli yako kama usemavyo
"Pia hawawez kukuambia Muhammad anatokea ukoo gan au kwa mtoto gan wa ishamel"
Na declare tena Sipo upande wowote ila kwa kielimu cha dini zote mbili nilikojitafutia kwa miaka zaidi ya mitano naweza kujibu....
Kwanza naanza kukuonyesha uzao wa Muhamadi mpaka kwa Ibrahimu kutoka katika siratul Nabiy (Sira ya mtume) kurasa za mwanzoni...
Ukoo wa mtume mpaka kwa ibrahimu

Key:Likitamkwa neno bin linamaanisha mtoto au alizaliwa na...

Muhammad
bin (mtoto wa) ‘Abdullah bin (mtoto wa)‘Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa ‘Amr) bin ‘Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Ka‘b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh ambalo ndo ukoo wa Muhamad) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa ‘Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma‘ad bin ‘Adnan bin Add bin Humaisi‘ bin Salaman bin Aws bin Buz bin Qamwal bin Obai bin ‘Awwam bin Nashid bin Haza bin Bildas bin Yadlaf bin Tabikh bin Jahim bin Nahish bin Makhi bin Aid bin ‘Abqar bin ‘Ubaid bin Ad-Da‘a bin Hamdan bin Sanbir bin Yathrabi bin Yahzin bin Yalhan bin Ar‘awi bin Aid bin Deshan bin Aisar bin Afnad bin Aiham bin Muksar bin Nahith bin Zarih bin Sami bin Mazzi bin ‘Awda bin Aram bin Qaidar bin Ismail (Ishmael) Bin Abraham ( Au ibrahimu)
Ushahidi wa kwanza inaonyesha hasa hukuisoma vizur Dini yako kwahiyo kwa mujibu wa Ukoo huo au uzao huo inaonyesha wazi ismaili ni babu wa Muhamad kupitia kwa mwanae Aitwaye Qaidar au keidari sasa tumuone huyu qaidar yupo katika maandiko ya kale au biblia au waislamu wamemtunga tu...

Mwanzo 25:13
"Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,"

Biblia inamtaja kedari au kaeidar kuwa ni mtoto wa pili wa ismaili....

My take:
Bila kufata ubishani wala kuchukua any side hizo ndio facts na ndiyo ukwl..na always ukweli unabki ukweli hata ukiupinga labda nafikiri tuendelee na swali kuwa Walikutana ila kuhusu maswala mengin tuyaache kama yalivyo na yalivyoandikwa.......
 
Kusimamishwa uchi tena mzee 😳😳? Haya ni maarifa mapya 🤣🤣🤣!
Waislam Bwana imani yao ni kutishana tupu! Mara funza Mara kusimamishwa uchi! Yaani imani yao iko kimwili sana wala hapo kiroho!
Ndo maana huwa wanaoamini mtu akifa kuna malaika huwa nakuja kumhoji!
 
Waislam Bwana imani yao ni kutishana tupu! Mara funza Mara kusimamishwa uchi! Yaani imani yao iko kimwili sana wala hapo kiroho!
Ndo maana huwa wanaoamini mtu akifa kuna malaika huwa nakuja kumhoji!
This is not about muslim this is about God's Revelation Bro sambulugu

Ayu 1:21-22​

.......akasema, "Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile"; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.
 
Atapewa 71 sababu Mkewe wa duniani atakuwa naye so jumla 72.
Kumbuka wote watakuwa katika hali ya Ubikira na Mke wa awali ndie atakuwa kiongozi wa wanawake hao wengine wa peponi.
Na Allah anajua zaidi
Sema haki ya Mungu. Mimi si muumini wa dini yoyote lakini hii ahadi ya Allah Kama Ina nishawishi hiv
 
waislam hatutofautishi katika manabii wote ni waislam na wamekuja na ujumbe mmoja wa kumuamini mungu mmoja pasi na kumshirikisha...

قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.
 
Back
Top Bottom