TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

Tumesubiri sana ujue tangu 2012 kumbuka mi nitafurahi tutakapoacha kutumia stendi ya matope
Kweli mkuu ile stend inatutia aibu ila naona hata viongozi wetu hawako open kwenye hili swala kusema nini kinaendelea but tuone kufikia January mwakani nini kitakuwa kimefanyika
 
Inasemekana first phase itamalizika mwezi march yaani floor ya chini,kituo cha polisi,na choo floor ni ya lami na sio matope .na michoro ni ileile ya 2012
Safi wengine tumeshindwa kutoka huku mikoani but tuna hamu ya kujua kinachoendelea huko maana kwetu tunapapenda
 
Napenda watu wazalendo kama wewe penda vyako kwanza.na soko utaratibu wa kulijenga unaendelea watu wamepewa mda kuhama hiyo ndiye rwakatale bwana
Endelea kutuhabarisha mkuu, hiki ni kilio cha masiku mengi sana
 
JF uongozi,ingependeza Zaidi kutafuta wakilishi wa mikoa mingine,kama mlivyofanya kwa Bukoba,watu wa mikoa mingine wakishirikishwa JF itawafikia wanajamii wengi Zaidi,msiwe kama Sizonje yeye kila kitu anapeleka Mwanza.
 
Ujio wa stand mpya na ujenzi wa meli vinatakiwa kuwasmsha uongozi wa msnispaa kuanza kupanua barabara za custom na ile ya kwenda kyakailabwa kutokea kibeta/rwamishenye ziwe za njia nne kwani naamini magari yataongezeka sana hapo mjini. Watu wa Tanroads ni bora wakaliona hili mapema pasipo kusubiri yatukute
 
Ni kweli lakini hata daladala za kutoka stend kwenda mjin na maeneo mengine ndan ya manispaa vinginevyo itakuwa adhabu kwa wananchi
 
Baati nzr barabara hiyo inapanuliwa ndo maana walivunja nyumba rwamishenye na upanuzi unafanywa hamugembe ikiwemo uwekaji wa taa na hilo limeshamalizwa hmgembe
 
Baati nzr barabara hiyo inapanuliwa ndo maana walivunja nyumba rwamishenye na upanuzi unafanywa hamugembe ikiwemo uwekaji wa taa na hilo limeshamalizwa hmgembe
Wadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…