Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi ni kwamba mkandarasi mpaka sasa yupo site japo utekelezaji bado haujaanza na inasemekana ni tatizo la hali ya hewa ya mvua kubwa zinazoendelea ndani ya mji wa Bukoba.
Hiyo post mkuu umeisoma?? Nadhani tusubiri tuone kama itakuwa kweliHivi stendi iliishia wapi mbona hamsemi
Tumesubiri sana ujue tangu 2012 kumbuka mi nitafurahi tutakapoacha kutumia stendi ya matopeHiyo post mkuu umeisoma?? Nadhani tusubiri tuone kama itakuwa kweli
Kweli mkuu ile stend inatutia aibu ila naona hata viongozi wetu hawako open kwenye hili swala kusema nini kinaendelea but tuone kufikia January mwakani nini kitakuwa kimefanyikaTumesubiri sana ujue tangu 2012 kumbuka mi nitafurahi tutakapoacha kutumia stendi ya matope
Yah ilishaanza kujengwa picha hizi hapa hiyo ilikuwa jumatatu wameanza kujenga kituo cha polisi na choo lakini na eneo linaparuliwaMlioko site hiyo stand ishaanza kujengwa?
Safi sana mkuu angalau inatia moyoYah ilishaanza kujengwa picha hizi hapa hiyo ilikuwa jumatatu wameanza kujenga kituo cha polisi na choo lakini na eneo linaparuliwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inasemekana first phase itamalizika mwezi march yaani floor ya chini,kituo cha polisi,na choo floor ni ya lami na sio matope .na michoro ni ileile ya 2012Safi sana mkuu angalau inatia moyo
Safi wengine tumeshindwa kutoka huku mikoani but tuna hamu ya kujua kinachoendelea huko maana kwetu tunapapendaInasemekana first phase itamalizika mwezi march yaani floor ya chini,kituo cha polisi,na choo floor ni ya lami na sio matope .na michoro ni ileile ya 2012
Napenda watu wazalendo kama wewe penda vyako kwanza.na soko utaratibu wa kulijenga unaendelea watu wamepewa mda kuhama hiyo ndiye rwakatale bwanaSafi wengine tumeshindwa kutoka huku mikoani but tuna hamu ya kujua kinachoendelea huko maana kwetu tunapapenda
Wanaoiponda bk wanaongelea stend tu sasa hv watafunga midomoNapenda watu wazalendo kama wewe penda vyako kwanza.na soko utaratibu wa kulijenga unaendelea watu wamepewa mda kuhama hiyo ndiye rwakatale bwana
Endelea kutuhabarisha mkuu, hiki ni kilio cha masiku mengi sanaNapenda watu wazalendo kama wewe penda vyako kwanza.na soko utaratibu wa kulijenga unaendelea watu wamepewa mda kuhama hiyo ndiye rwakatale bwana
Ni kweli lakini hata daladala za kutoka stend kwenda mjin na maeneo mengine ndan ya manispaa vinginevyo itakuwa adhabu kwa wananchiUjio wa stand mpya na ujenzi wa meli vinatakiwa kuwasmsha uongozi wa msnispaa kuanza kupanua barabara za custom na ile ya kwenda kyakailabwa kutokea kibeta/rwamishenye ziwe za njia nne kwani naamini magari yataongezeka sana hapo mjini. Watu wa Tanroads ni bora wakaliona hili mapema pasipo kusubiri yatukute
Baati nzr barabara hiyo inapanuliwa ndo maana walivunja nyumba rwamishenye na upanuzi unafanywa hamugembe ikiwemo uwekaji wa taa na hilo limeshamalizwa hmgembeUjio wa stand mpya na ujenzi wa meli vinatakiwa kuwasmsha uongozi wa msnispaa kuanza kupanua barabara za custom na ile ya kwenda kyakailabwa kutokea kibeta/rwamishenye ziwe za njia nne kwani naamini magari yataongezeka sana hapo mjini. Watu wa Tanroads ni bora wakaliona hili mapema pasipo kusubiri yatukute
Wadau mnaonaje tulipigie kelele swala la daladala kwa sababu wananchi wanaghalimika kutumia pikipiki na bajaji wanapotaka kwenda maeneo ya mbali ndan ya manispaaBaati nzr barabara hiyo inapanuliwa ndo maana walivunja nyumba rwamishenye na upanuzi unafanywa hamugembe ikiwemo uwekaji wa taa na hilo limeshamalizwa hmgembe