Kazi nzuri maendeleo yanaonekana kwanza hatua ya kulitengeneza tenki la maji pakingi, vile vile kutengeneza machujio ya maji kiukweli japo mgao haueleweki ila maji ni masafi kwa sasa tofauti na mwanzoni maji yalikuwa si masafi kama sasa vile vile mheshimiwa mbunge vip kuhusu bima za afya kila Kaya ulizotuahidi mda wa kampeni