Mzee Mohamed Said acha kumuondoa Mwl Nyerere kwenye orodha ya waasisi wa Tanu.Mtu anaweza akaamini kuwa Nyerere ndiye aliyeunda TANU lakini mimi najua Nyerere kaikuta TANU nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu mwaka wa 1952.
Proved,Mzee Mohamed Said acha kumuondoa Mwl Nyerere kwenye orodha ya waasisi wa Tanu.
Pascal Mayalla
Nguruvi3
Gold...Labda tulikuwa tukipishana mzee wangu, nilishachungulia humu mara kadhaa kuona kama kuna madini mapya uliyoyaweka ila sikubahatika kukutana nayo. Nilifikiri labda uko "busy" unaandika kitabu, n.k.
Ila shukran sana kufahamu kuwa bado unaendelea kuwekeza humu kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Nitazifuatilia. Kuna mapya najifunza kupitia mada zako.
Wajamaa ndiyo manguli wa kuandika historia kwa kuiegemeza kwaoHistoria huandikwa na washindi.
Yoda,Historia huandikwa na washindi.
πππ