Huwajui viongozi wa ccm weweUmesema anatuhumiwa. Unajua maana ya tuhuma?
Akili ndogo zinaongoza Akili kubwa ???!!Wezi, matapeli na watu wa hovyo wengi wanaingia kwenge siasa kusaka uongoziili yao yawaendee.
Ndio maana kama taifa hatuendi mahala..
Ukipima maendeleo yetu na muda tuliopata uhuru ni vitu viwili tofauti.
Huyu tapeli Ummy Mwalimu kayakoroga. Naye kasambaratishwa vibayaMjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
View attachment 3297971